achiwalila
Member
- Dec 2, 2008
- 29
- 0
Wana JF, Natafuta Mshirika mwenye Gari Canter Tani 2, tushirikiane. Mmini nina kisima cha maji safi huko Chanika DSM. Kuna Mahitaji makubwa ya maji kwa shughuli zote huko Masaki karibu na Chanika. Nina Tank za kuhifadhi na kusafirishia Maji.Nimekosa gari. Mwenye gari aliye na haja na kushirikiana katika hilo anakaribishwa.