SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 510
- 1,402
si kweli huko kwenye maeneo yenu hampati. Mnapata. Lakini mnakula mpk mnavimbiwa. Jipimieni, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake[emoji23]Kuna clip ipo humu mama aliikemea vikali Sana rushwa. Nanukuu "si kweli kwamba huko kwenye maeneo yenu hampati. Mnapata. Lakini mnakula mpk mnavimbiwa. Jipimieni, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake"
Na huyu naye kapoteza ngapi mpaka sasa ili tulinganisheWote Ni walewale.. magufuli alipiga porojo ya kupambana na Rushwa lakini alipoteza trillion 1.5..
Si bora hilo! Ata kuwasisitiza wananchi kufanyakazi kwa bidiii nako hawezi!Sijawawahi sikia Mama akiongelea suala la ufisadi hata ile ya Crocodile tears, ile ya kuzuga unaumizwa na jambo fulani kumbe moyoni unalifurahia.
Kama Mkuu wa nchi kuna vitu anapaswa kuvikemea wazi wazi hata kama in reality hawezi kupambana navyo, sasa mtaani watu wanajipimia kwa urefu wa kamba zao wakiamini Mama yuko nao au anawaunga mkono.
Kikwete na usanii wake aliwafunga Mramba na Daniel Yona hata kama ilikuwa ni kanya boya ila alijaribu ile ya Crocodile tears. Sasa Mama vipi yeye?
Labda tukupatie ile ya kula kwa urefu wa kamba.ποΈποΈποΈποΈποΈποΈποΈποΈποΈποΈποΈSijawawahi sikia Mama akiongelea suala la ufisadi hata ile ya Crocodile tears, ile ya kuzuga unaumizwa na jambo fulani kumbe moyoni unalifurahia.
Kama Mkuu wa nchi kuna vitu anapaswa kuvikemea wazi wazi hata kama in reality hawezi kupambana navyo, sasa mtaani watu wanajipimia kwa urefu wa kamba zao wakiamini Mama yuko nao au anawaunga mkono.
Kikwete na usanii wake aliwafunga Mramba na Daniel Yona hata kama ilikuwa ni kanya boya ila alijaribu ile ya Crocodile tears. Sasa Mama vipi yeye?
Magufuri alizungukwa na Mbwa Mwitu, ndio hao sasa wako na MamaWote Ni walewale.. magufuli alipiga porojo ya kupambana na Rushwa lakini alipoteza trillion 1.5..
Hata ukimuuliza Tanzania iko na mikoa mingapi, possibly hajui.Si bora hilo! Ata kuwasisitiza wananchi kufanyakazi kwa bidiii nako hawezi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata ukimuuliza Tanzania iko na mikoa mingapi, possibly hajui.
Rushwa ni adui nambari moja kwa raia wa nchi hii, na imetamalaki kuanzia ngazi za chini hadi juuSijawawahi sikia Mama akiongelea suala la ufisadi hata ile ya Crocodile tears, ile ya kuzuga unaumizwa na jambo fulani kumbe moyoni unalifurahia.
Kama Mkuu wa nchi kuna vitu anapaswa kuvikemea wazi wazi hata kama in reality hawezi kupambana navyo, sasa mtaani watu wanajipimia kwa urefu wa kamba zao wakiamini Mama yuko nao au anawaunga mkono.
Kikwete na usanii wake aliwafunga Mramba na Daniel Yona hata kama ilikuwa ni kanya boya ila alijaribu ile ya Crocodile tears. Sasa Mama vipi yeye?
Usile kisicho chako hujaelewa Ninisi kweli huko kwenye maeneo yenu hampati. Mnapata. Lakini mnakula mpk mnavimbiwa. Jipimieni, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake[emoji23]