Mwenye connection na kazi za viwandani msaada nina cheti tu cha form four nisaidie ndugu zangu

ABDUL FUNGA

New Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
4
Reaction score
2
Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
 
Pole sana mdogo wangu Mungu akutangulie.
Pili ungesema unaishi mkoa gani iwe rahisi watu kulinganisha umbali wa fursa ilipo.
Tatu tembea na CV yako kwenye viwanda vya wahindi ni rahisi kukuchukua huwa hawapotezi muda kama nafasi iko,kuna rafiki yangu mmoja alikuwa ana cheti kama chako akaenda kwenye kiwanda cha wahindi akapata shavu hadi leo yuko nao,tena alijipanga akajiendeleza kielimu akamaliza Diploma huku akiwa na kazi yake mkononi.
Kwa hiyo na wewe fuata njia hizo usikate tamaa maisha yana changamoto.
 
Nipo DAR ES SALAAM WILAYA ya kinondoni
 
Nenda gardaworld ukafanye kazi za ulinzi wanalipa vzr tofauti na uko viwandani ambapo ukipatwa na majanga security ni zero
Gardaworld mshahara wao unaanzia bei gani?Lakini hata kazi ya ulinzi pia ina risks pia kulinda mali ili kuwazuia wezi au majambazi wasichukue sio kazi ndogo tena utakuta unawekwa lindoni bila silaha ya kueleweka wakati majambazi wamejipanga na silaha za kisasa
 
Mwenyezi Mungu akusaidie ufanikishe malengo yako.
 
Gardaworld mshahara wao unaanzia bei gani?Lakini hata kazi ya ulinzi pia ina risks pia kulinda mali ili kuwazuia wezi au majambazi wasichukue sio kazi ndogo tena utakuta unawekwa lindoni bila silaha ya kueleweka wakati majambazi wamejipanga na silaha za kisasa
Garda world kima cha chini kabisa ni 350k.Bima ya afya unapewa,Kodi unakatwa,+nssf
 
Gardaworld mshahara wao unaanzia bei gani?Lakini hata kazi ya ulinzi pia ina risks pia kulinda mali ili kuwazuia wezi au majambazi wasichukue sio kazi ndogo tena utakuta unawekwa lindoni bila silaha ya kueleweka wakati majambazi wamejipanga na silaha za kisasa
Huwezi kuielewa kazi ya security kwa kusimuliwa na lazima utaogopa kuifanya ila vijana wenzako ndo wamepatia mitaji na connection mbalimbali kupitia huko
 
Leta maelezo ya kutosha boss kuna dogo langu limemaliza 4m4 yupo analala lala tuh bora nimsukumizie huko akasogeze siku za kuishi
 
Huwezi kuielewa kazi ya security kwa kusimuliwa na lazima utaogopa kuifanya ila vijana wenzako ndo wamepatia mitaji na connection mbalimbali kupitia huko
Isome vizuri post yangu uielewe.
Mimi hakuna mahali nimesema kwenye kazi ya security hakuna malipo au hakuna connection.
Nilikuwa najaribu kulinganisha risks za kiwandani na security naona kote kuna risks tu.
Na kuhusu connection zipo kila mahali kutokana na ujanja wako tu.
 
Back
Top Bottom