ABDUL FUNGA
New Member
- Sep 3, 2022
- 4
- 2
Pole sana mdogo wangu Mungu akutangulie.Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
Nipo DAR ES SALAAM WILAYA ya kinondoniPole sana mdogo wangu Mungu akutangulie.
Pili ungesema unaishi mkoa gani iwe rahisi watu kulinganisha umbali wa fursa ilipo.
Tatu tembea na CV yako kwenye viwanda vya wahindi ni rahisi kukuchukua huwa hawapotezi muda kama nafasi iko,kuna rafiki yangu mmoja alikuwa ana cheti kama chako akaenda kwenye kiwanda cha wahindi akapata shavu hadi leo yuko nao,tena alijipanga akajiendeleza kielimu akamaliza Diploma huku akiwa na kazi yake mkononi.
Kwa hiyo na wewe fuata njia hizo usikate tamaa maisha yana changamoto.
Nenda utembelee maeneo ya viwanda kama chan'gombe sambaza CV yako kwenye kila kiwanda,wahindi hawana longolongo kama kuna nafasi.Nipo DAR ES SALAAM WILAYA ya kinondoni
Gardaworld mshahara wao unaanzia bei gani?Lakini hata kazi ya ulinzi pia ina risks pia kulinda mali ili kuwazuia wezi au majambazi wasichukue sio kazi ndogo tena utakuta unawekwa lindoni bila silaha ya kueleweka wakati majambazi wamejipanga na silaha za kisasaNenda gardaworld ukafanye kazi za ulinzi wanalipa vzr tofauti na uko viwandani ambapo ukipatwa na majanga security ni zero
Garda world kima cha chini kabisa ni 350k.Bima ya afya unapewa,Kodi unakatwa,+nssfGardaworld mshahara wao unaanzia bei gani?Lakini hata kazi ya ulinzi pia ina risks pia kulinda mali ili kuwazuia wezi au majambazi wasichukue sio kazi ndogo tena utakuta unawekwa lindoni bila silaha ya kueleweka wakati majambazi wamejipanga na silaha za kisasa
Hii inamsadia vipi mleta uzi ?Nina dogo kama wewe sema yeye yuko tabora.
Huwezi kuielewa kazi ya security kwa kusimuliwa na lazima utaogopa kuifanya ila vijana wenzako ndo wamepatia mitaji na connection mbalimbali kupitia hukoGardaworld mshahara wao unaanzia bei gani?Lakini hata kazi ya ulinzi pia ina risks pia kulinda mali ili kuwazuia wezi au majambazi wasichukue sio kazi ndogo tena utakuta unawekwa lindoni bila silaha ya kueleweka wakati majambazi wamejipanga na silaha za kisasa
Leta maelezo ya kutosha boss kuna dogo langu limemaliza 4m4 yupo analala lala tuh bora nimsukumizie huko akasogeze siku za kuishiHuwezi kuielewa kazi ya security kwa kusimuliwa na lazima utaogopa kuifanya ila vijana wenzako ndo wamepatia mitaji na connection mbalimbali kupitia huko
Isome vizuri post yangu uielewe.Huwezi kuielewa kazi ya security kwa kusimuliwa na lazima utaogopa kuifanya ila vijana wenzako ndo wamepatia mitaji na connection mbalimbali kupitia huko