Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

Akhi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2021
Posts
3,380
Reaction score
5,906
Mimi ni kijana mhitimu wa chuo nimeamua kujikita kwenye ufugaji wa kuku wa Nyama(broilers).

Nilikua nahitaji mtu ambae ana connection ya uuzaji wa kuku kama vile kwenye restaurants au vibanda vya chipsi aniungishe tufanye biashara tuendeleze Maisha.

NB: Uaminifu ndio jadi yangu
 
Mimi ni kijana mhitimu wa chuo nimeamua kujikita kwenye ufugaji wa kuku wa Nyama(broilers).

Nilikua nahitaji mtu ambae ana connection ya uuzaji wa kuku kama vile kwenye restaurants au vibanda vya chipsi aniungishe tufanye biashara tuendeleze Maisha

Nb.Uaminifu ndio jadi yangu
Mbona Dar demand bado kubwa kuliko supply?
 
Dah ndo siishi uko sasa mkuu
Kumbe upo Zanzibar? Fanya physical savey ongea na mameneja wa hotel za kitalii na hao wauza bites mtaani check now.

Kuna demand kubwa ya broiler mitaani, production imeshashuka na mbegu bado siyo nzuri, kwahiyo ukiwa na mbegu nzuri kama Interchick wapo vizuri, soko la Kuku siyo humu hata wewe mwenyewe ukienda kwa wauza chips Kuku wakubwa waombe wakuunganishe na supplier wao, wewe Sasa utadeal na supplier, yeye ananunuwa Kuku kwako anakwenda kuchinja halafu ndio anasupply kwa watu wake, hapo ndio mpaka utumbo, vichwa na miguu ya Kuku vyote anapata pesa.

Kwa kifupi usiangaike na wenye restaurant wala wauza chips, omba contact uwasiliane na wale wanaowasupply Kuku ndio utafanya nao Wewe biashara na kila mtu anapata faida yake.
 
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Habari zenu wakubwa

Nimerudi tena ndugu yenu kutafuta soko la kuku
 
Wakuu bado natafuta mnunuzi wa broilers kwa aliepo zanzibar
 
Panga safari uende field mwenyewe ukatafute soko hapa jf hawapo wazenj wao wapo bize kwa utafutaji
 
Wakuu bado natafuta mnunuzi wa broilers kwa aliepo zanzibar
Mkuu pale viwanja vya NSSF kwa siku kuku zaidi ya 100 wanalika pale, February 2024 nilikuwa na kazi Zanzibar na nilikuwa nakula hapo.. why usiende kuonana na wausika ? Unaweza wauzia wao... pia Kiwengwa kuna zaidi ya hotels 200. Kweli bado unatofuta soko la kuku Zanzibar?? Upo Serious kweli?? Au ni aina ingine ya kuku??Tatizo lako ni nini juu ya wewe kupata soko la kuku??ule mgahawa wa Rukhman nao wanauza kuku wengi sana per day je umeenda hapo ukakosa soko?? Please elezea tatizo
 
Mkuu wale ni ngumu kukupa connection wanafuga wenyewe wale
 
kuku wako wana uzito kiasi gani kabla ya kuchinjwa
Kuku wa mwezi kikawaida wana 1.5kg ila m nishazoea kukuweka kuku mpk wanafikia 2.4kg kwa muda wa wiki 5 mpk 6
 
Mkuu pale viwanja vya NSSF kwa siku kuku zaidi ya 100 wanalika pale, February 2024 nilikuwa na kazi Zanzibar na nilikuwa nakula hapo.. why usiende kuonana na wausika ? Unaweza wauzia wao... pia Kiwengwa kuna zaidi ya hotels 200. Kweli bado unatofuta soko la kuku Zanzibar?? Upo Serious kweli?? Au ni aina ingine ya kuku??Tatizo lako ni nini juu ya wewe kupata soko la kuku??ule mgahawa wa Rukhman nao wanauza kuku wengi sana per day je umeenda hapo ukakosa soko?? Please elezea tatizo
Mahotelini watu washalizwa sana huko si kwa kukuamini kabisaaa
 
Back
Top Bottom