R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Apr 11, 2021 #1 Wakuu natumaini mu wazima. Naomba kwa yeyote mwenye contacts za wafanyabiashara wa kichina au Japan waliopo Arusha anisaidie. Nataka kuangalia products zipi naweza kuwauzia kwa soko la China. Natanguliza shukrani za dhati.
Wakuu natumaini mu wazima. Naomba kwa yeyote mwenye contacts za wafanyabiashara wa kichina au Japan waliopo Arusha anisaidie. Nataka kuangalia products zipi naweza kuwauzia kwa soko la China. Natanguliza shukrani za dhati.
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Apr 11, 2021 #2 Wachina wote waliopo Arusha sio?
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Apr 12, 2021 Thread starter #3 joshua_ok said: Wachina wote waliopo Arusha sio? Click to expand... Mchina yeyote tu mkuu. Najua hawa watu no wafanyabiashara kwa hiyo ukinisaidia nitashukuru.
joshua_ok said: Wachina wote waliopo Arusha sio? Click to expand... Mchina yeyote tu mkuu. Najua hawa watu no wafanyabiashara kwa hiyo ukinisaidia nitashukuru.