cjasema kama nataka kuoa Mkuu mm bado sana nakula mema ya nchiDah, mkuu copy za namna hiyo huwa hazipo.Lakini mbona ni rahisi sana ku-draft mkuu. Fanya mwenyewe bwana,usitutie aibu wanaume aisee. Mabinti wanakusoma ujue!Hivi jamani shule haikusaidia hata kidogo,mm.
shukrani sana kumbe ni simple hiviAndika hivi...baada ya anuani zote,husika na somo tajwa hapo juu mimi holy holm naomba kumposa binti yako.....pamoja na barua hii naambatanisha sh...kama ishara ya kupiga hodi katika familia yako
Wasalaam,holy man
Dah, mnatuaibisha vijana.Sasa ninyi ndio mnalalama eti tuwaachie nchi, hapana.Mimi mwenyewe naitaka
Dah! Sidhani kama utakuta mwenye hiyo kopi maana mtu anapoandika ile barua hupeleka tu bila kuweka kumbukumbu
Aisee!!Copy and paste mpaka barua za posa? ukisahau kubadili jina wakati wa kunakili itakuwaje?
Heshima kwenu wana jf
Msaada wenu mwenye copy ya Barua ya POSA anitumie tafadhari..
Muhimu sana
barua lakini 5 acha zako barua unatia buku kumi tuHahahaha lol umenikumbusha aisee wakati naenda kumposa wife ukiandika mkuu ambatanisha na kiasi chochote cha fedha mie niliweka 50k tukakaribishwa gonga vyuku kwa sana nini sahv we are happily married and blessed with one beautiful girl called praise
Aiseeee wewe ni noumaaaaa mpaka barua ya posa.......shikamooHeshima kwenu wana jf
Msaada wenu mwenye copy ya Barua ya POSA anitumie tafadhari..
Muhimu sana
Bado ww unaandika barua?Heshima kwenu wana jf
Msaada wenu mwenye copy ya Barua ya POSA anitumie tafadhari..
Muhimu sana