Mwenye Copy ya Barua ya POSA

Mwenye Copy ya Barua ya POSA

Andika hivi...baada ya anuani zote,husika na somo tajwa hapo juu mimi holy holm naomba kumposa binti yako.....pamoja na barua hii naambatanisha sh...kama ishara ya kupiga hodi katika familia yako
Wasalaam,holy man
 
Dah, mkuu copy za namna hiyo huwa hazipo.Lakini mbona ni rahisi sana ku-draft mkuu. Fanya mwenyewe bwana,usitutie aibu wanaume aisee. Mabinti wanakusoma ujue!Hivi jamani shule haikusaidia hata kidogo,mm.
cjasema kama nataka kuoa Mkuu mm bado sana nakula mema ya nchi
 
Andika hivi...baada ya anuani zote,husika na somo tajwa hapo juu mimi holy holm naomba kumposa binti yako.....pamoja na barua hii naambatanisha sh...kama ishara ya kupiga hodi katika familia yako
Wasalaam,holy man
shukrani sana kumbe ni simple hivi
 
Hahahaha lol umenikumbusha aisee wakati naenda kumposa wife ukiandika mkuu ambatanisha na kiasi chochote cha fedha mie niliweka 50k tukakaribishwa gonga vyuku kwa sana nini sahv we are happily married and blessed with one beautiful girl called praise
barua lakini 5 acha zako barua unatia buku kumi tu
 
upload_2017-6-9_13-34-11.jpeg
upload_2017-6-9_13-34-11.jpeg
 
Back
Top Bottom