Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jun 28, 2023 #1 Jaji wa Mahakama ya Rufani, Stella MugashaMhe. Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania. Siku mbili hizi ameteka headline kwa barua aliyoandika kukosoa kuongezewa muda Jaji Mkuu. Naomba mwenye CV ya Jani Mugasha pls ashare nasi hapa Pia soma Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT? Kitendo cha Jaji Mugasha kukosoa mamlaka hadharani ni utovu wa nidhamu, sio ushujaa
Jaji wa Mahakama ya Rufani, Stella MugashaMhe. Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania. Siku mbili hizi ameteka headline kwa barua aliyoandika kukosoa kuongezewa muda Jaji Mkuu. Naomba mwenye CV ya Jani Mugasha pls ashare nasi hapa Pia soma Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT? Kitendo cha Jaji Mugasha kukosoa mamlaka hadharani ni utovu wa nidhamu, sio ushujaa
J John Wickzer Mulholland JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 6,656 Reaction score 14,403 Jun 28, 2023 #2 Msanii said: Mhe. Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania. Siku mbili hizi ameteka headline kwa barua aliyoandika kukosoa kuongezewa muda Jaji Mkuu. Naomba mwenye CV ya Jani Mugasha pls ashare nasi hapa Click to expand... Wewe; ya kazi gan?? Ili umuanzishie kampeni zenu chafu za kumchafua (Characters Assassination and Smear Campaign)???
Msanii said: Mhe. Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania. Siku mbili hizi ameteka headline kwa barua aliyoandika kukosoa kuongezewa muda Jaji Mkuu. Naomba mwenye CV ya Jani Mugasha pls ashare nasi hapa Click to expand... Wewe; ya kazi gan?? Ili umuanzishie kampeni zenu chafu za kumchafua (Characters Assassination and Smear Campaign)???
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jun 28, 2023 Thread starter #3 John Wickzer Mulholland said: Wewe; ya kazi gan?? Ili umuanzishie kampeni zenu chafu za kumchafua (Characters Assassination and Smear Campaign)??? Click to expand... Sidhani kama lengo ni hilo
John Wickzer Mulholland said: Wewe; ya kazi gan?? Ili umuanzishie kampeni zenu chafu za kumchafua (Characters Assassination and Smear Campaign)??? Click to expand... Sidhani kama lengo ni hilo
J John Wickzer Mulholland JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 6,656 Reaction score 14,403 Jun 28, 2023 #4 Msanii said: Sidhani kama lengo ni hilo Click to expand... Lengo ni lipi basi??? Liweke wazi japa hilo lengo lako kwa sababu "whatever secret is not sincere".
Msanii said: Sidhani kama lengo ni hilo Click to expand... Lengo ni lipi basi??? Liweke wazi japa hilo lengo lako kwa sababu "whatever secret is not sincere".
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,250 Reaction score 3,607 Jun 29, 2023 #5 tunasubiri