Mwenye CV ya Jaji Stella Mugasha atuwekee

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Mugasha.jpg

Jaji wa Mahakama ya Rufani, Stella Mugasha
Mhe. Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.

Siku mbili hizi ameteka headline kwa barua aliyoandika kukosoa kuongezewa muda Jaji Mkuu.

Naomba mwenye CV ya Jani Mugasha pls ashare nasi hapa

Pia soma
 
Wewe; ya kazi gan??
Ili umuanzishie kampeni zenu chafu za kumchafua (Characters Assassination and Smear Campaign)???
 
Back
Top Bottom