baraka boki
Senior Member
- Sep 20, 2010
- 181
- 80
Watuwekee na picha pia....Ndio nani...wengine hatumjui
Ni mke wa mzee wa mujin mmoja hiv anaitwa Fundikira,ni zao la lundenga na ni yule dem wa kwenye video ya Ngwair, she got a gwan
Fundikira ni mtoto mdogo tu wala sio mzee.
Ni mke wa mzee wa mujin mmoja hiv anaitwa Fundikira,ni zao la lundenga na ni yule dem wa kwenye video ya Ngwair, she got a gwan
jamani ana uzee gani kijana yule,wanaweza kuwa nazo si wauza unga maarufu mjini
jana nilikuwa naangalia kipindi cha chartroom katika clouds tv nikakuta huyo mrembo anajisifu kwamba anapesa embu mwenye cvs yake atujuze huyo mrembo alipotokea
Baraka Boki (MEng,MBA from Duke University)