iPad ya Apple
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 322
- 126
Hapa Ridhiwani J.M.K Hana mkono wake kweli? Ok lakini China na South Africa ni Nchi mbili zilizo ktk mabara mawili na serikali tofauti bila Shaka hatutasikia kama ya Masogange Kuwa ulikuwa ni unga tu tena wa kuchanganywa..........???