Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff


lol kuna watu Wanabusara, huyu aliyetoa post kama alijuaaa
 
Heaven on Earth jack anaringa jamani,mashauzi ptuuu utafikiri hanyi.
Huwa tunaonana mara kwa mara saloon kwa jack manyanya yaaaani aiyayayaya.Mwanamke mashauzi sasa ataiona jun july.
Alipokuwa na bint kiziwi mpaka akakamatwa akamkimbia akafikiri amewin kumbe wenzake wanammemndea.
Ila ubongo wa kondoo ubongo wa kondoo tu huyu alikuwa na bint kiziwi wote mpaka mwenzie akashikwa wapo pamoja bado akarudi kulekule na mzigo?kisa aende eatv sijui clouds kusema kuwa: i live a very expensive life,my gown from zarra usd 1800,this is diamond ring i bought it in germany.............bla bla kibao.
Atasugua gaga uchinani.
 
Last edited by a moderator:

umenifurahishaaaa ahahhahahhaahhahaah
 
Last edited by a moderator:

hahahaaa mie namuonaga tu huko Insta akitupiamo ma pic nampendaje
najisemea huyu mdada anavaa classy acha tu kumbe nae punda tu sa jana ndio nimepata
hizi habari na aliaga anaenda Iringa kumbe ana yake majambo...na pale alivaa malapa hakuna
cha CL wala Louis Vuitton...

Hiyo ya EATV niliona eti ana clear closet yake every year nikajiuliza sa hela anapata wapi hata kama
ni muhongaji basi anajua kuhonga maaana huo mda alikuwa keshaachana na Fundikira kumbe anachokifanya
ni wale wale kasoro majina........
 
Natamanije afungwe ili iwe fundisho sema anaweza kutolewa kama masogange.Halafu sasa wakiachiwa wanarudi na mashauzi zaidi ya yale ya mwanzo sasa.Hii serikali yetu bana.Tokea masogange aachiwe huru sina imani kabisa kama huu atafungwa,atatolewe tu,subirini mtaona.
 
Reactions: DSN
kwenye kuvaa i salute her anavaaa jamani ila ndo ivo afu nimegundua warembo wote wanaoenda guanzghou sijui thailand kazi ni moja tu.
Mapunda kasoro mkia.
 
Hahahaaa...sasa yamemkuta.... nature is always absolute...
 
jana nilikuwa naangalia kipindi cha chartroom katika clouds tv nikakuta huyo mrembo anajisifu kwamba anapesa embu mwenye cvs yake atujuze huyo mrembo alipotokea


Baraka Boki (MEng,MBA from Duke University)
Kweli wewe ni Kionambali... I admit..
 

nini!! Aachiwe!! Sio China aisee! Kule alichomoka Riz tuu.
 
jamani ana uzee gani kijana yule,wanaweza kuwa nazo si wauza unga maarufu mjini

Mkuu we ni nouma, hii post uliipost mwezi June 2012, na leo hii tunasikia uyu mrembo kadakwa duhhhh, we ni noumaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…