Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff

Hapa Ridhiwani J.M.K Hana mkono wake kweli? Ok lakini China na South Africa ni Nchi mbili zilizo ktk mabara mawili na serikali tofauti bila Shaka hatutasikia kama ya Masogange Kuwa ulikuwa ni unga tu tena wa kuchanganywa..........???
 
Mtu akishafikwa na majanga furaha yako weka moyoni mbele za watu mumuonee huruma. Mtanzania mwenzetu, binti mdogo na anaonekana kuwa ana full life ahead of her. So sad kwa kweli. Waliomshauri abebe ndo wanyongwe binafsi namuonea huruma tu.

ila ukweli aisee.. dah... 4 sure naanza muonea huruma pia.
 

walimpendelea kumuuliza hilo swali,maana yeye ni punda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…