Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Alikuwa Mwandishi wa Gazeti la Majira na aliwahi kuishi muda mrefu Marekani. Alisoma na aliyekuwa rais wa DR Congo, Joseph Kabila mdogo wake alikuwa Mwandishi jasusi
Masiyaga hajawahi kuwa hukoUandishi ni cover ye alikuwa jasusi na mdogo wake anaitwa Masyaga ni jasusi ule uandishi wa habari ni cover tu
Aisee[emoji3][emoji3]Kiufupi alikuwa Marekan myda mrefu akifanya uchambuzi wa siasa kwenye redio kama bbc/voa kumbr alikuwa jasusi
Akarudishwa bongi na kuimgia usalama
2015 alikuwa team ya membe walipoingia akina magu akaanza kufanyiwa fitina
2016 akapelekwa congo kama mwanadiplomasia ili aondolewe pale usalama
2019 akarudi mjini akawekwa benchi(inasemekana wakubwa usalama wakawa wanaogopa elimu yake/exp yake kuwa atachukua cheo chao akapigwa fitina kuwa ye ndo anamlisha kigogo info akachukuliwa na watu wasiojulikana akafichwa 3month hatyjui alipo
Mchrpuko wake ndo ulimshtua wife wake kuwa jamaa anauawa maana hawana ukweli juu ya wanachomtuhumu
Mkewe akawasiliana na wifi yake aongee na mmewe( mdogo wake matinyi ameolewa na cag kichele) so kichele akaongea na Magu kuwx shemeji yangu amechukuliwa na usalama 4month now wanaweza mpoteza mazima ndo Magu kuingikia kati
Jamaa akaachiwa ila akawekwa chini ya uangalizii pasport na kila electronic home kwake ikachukuliwa
Mkewe ana uraia wa usa ingawa ni mbongo
Amekuja kurudishwa na mama kuwa mkuu wa wilaya juzi
So kwa ufupi ni jasusi mbobefu
Masiyaga hajawahi kuwa huko
Usiamini kila unachoambiwa. Nafahamu sana. Masiyaga anaishi pale Mapinga B'MoyoSasa unabishana na familia [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee!Kiufupi alikuwa Marekan muda mrefu akifanya uchambuzi wa siasa kwenye redio kama bbc/voa kumbr alikuwa jasusi
Akarudishwa bongi na kuimgia usalama
2015 alikuwa team ya membe walipoingia akina magu akaanza kufanyiwa fitina
2016 akapelekwa congo kama mwanadiplomasia ili aondolewe pale usalama
2019 akarudi mjini akawekwa benchi(inasemekana wakubwa usalama wakawa wanaogopa elimu yake/exp yake kuwa atachukua cheo chao akapigwa fitina kuwa ye ndo anamlisha kigogo info akachukuliwa na watu wasiojulikana akafichwa 3month hatyjui alipo
Mchrpuko wake ndo ulimshtua wife wake kuwa jamaa anauawa maana hawana ukweli juu ya wanachomtuhumu
Mkewe akawasiliana na wifi yake aongee na mmewe( mdogo wake matinyi ameolewa na cag kichele) so kichele akaongea na Magu kuwx shemeji yangu amechukuliwa na usalama 4month now wanaweza mpoteza mazima ndo Magu kuingikia kati
Jamaa akaachiwa ila akawekwa chini ya uangalizii pasport na kila electronic home kwake ikachukuliwa
Mkewe ana uraia wa usa ingawa ni mbongo
Amekuja kurudishwa na mama kuwa mkuu wa wilaya juzi
So kwa ufupi ni jasusi mbobefu
Usiamini kila unachoambiwa. Nafahamu sana. Masiyaga anaishi pale Mapinga B'Moyo
Wabongo wepesi mno kuongopewa. Masiyaga alitumia sana nafasi ya kaka yake. Hadi kuna wakati alikamatwa kwa rushwa Arusha. Huyo kaka yake yupo huko kitambo sanaWe wakat mobhare yuko usa ulijua ni usalama? [emoji23][emoji23][emoji23] Mobhare ni Usalama na Masyaga ni usalama kwa cover ya uandishi ndg acha kubishana
Wabongo wepesi mno kuongopewa. Masiyaga alitumia sana nafasi ya kaka yake. Hadi kuna wakati alikamatwa kwa rushwa Arusha. Huyo kaka yake yupo huko kitambo sana
Na wewe endelea kuamini hivyoBos amin unavyoamin basi nisikulazimishe ndg yangu
Watumishi wa sisiemHao usalama hivi ni kwa ajili ya nini hasa
Huyu agness masyaga ni mwanae?We wakat mobhare yuko usa ulijua ni usalama? [emoji23][emoji23][emoji23] Mobhare ni Usalama na Masyaga ni usalama kwa cover ya uandishi ndg acha kubishana
Hizo emoji combo means = Unawaza kwa sautiπ€π€π€π€πππππ
Baharia?Huyu agness masyaga ni mwanae?
View attachment 2769073