Chikuvi2021
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 491
- 551
Kutoka wilayani temeke mpaka kwenye Shina la asali ikulu kweli kuna watu waganga wao hawalali sio MchezoMwenye picha ya msemaji mpya wa Serikali,sisi wengine tulikuwa hatumfahamu Mkuu wa wilaya Temeke
Waganga baba kuna watu waganga wao wana dawa kali hawalali dawa inachemshwa kichwa chini miguu juu chikeke tena 'atapangiwa majukumu mengine'Kwani chikeke kadondokea pua ama?
ujasusi mnaujua au mnausikia..may be informat(afisa kipenyo).Uandishi ni cover ye alikuwa jasusi na mdogo wake anaitwa Masyaga ni jasusi ule uandishi wa habari ni cover tu
LOO, wee jamaa ni , mtunga hadithi mzuri.Kiufupi alikuwa Marekan muda mrefu akifanya uchambuzi wa siasa kwenye redio kama bbc/voa kumbr alikuwa jasusi
Akarudishwa bongi na kuimgia usalama
2015 alikuwa team ya membe walipoingia akina magu akaanza kufanyiwa fitina
2016 akapelekwa congo kama mwanadiplomasia ili aondolewe pale usalama
2019 akarudi mjini akawekwa benchi(inasemekana wakubwa usalama wakawa wanaogopa elimu yake/exp yake kuwa atachukua cheo chao akapigwa fitina kuwa ye ndo anamlisha kigogo info akachukuliwa na watu wasiojulikana akafichwa 3month hatyjui alipo
Mchrpuko wake ndo ulimshtua wife wake kuwa jamaa anauawa maana hawana ukweli juu ya wanachomtuhumu
Mkewe akawasiliana na wifi yake aongee na mmewe( mdogo wake matinyi ameolewa na cag kichele) so kichele akaongea na Magu kuwx shemeji yangu amechukuliwa na usalama 4month now wanaweza mpoteza mazima ndo Magu kuingikia kati
Jamaa akaachiwa ila akawekwa chini ya uangalizii pasport na kila electronic home kwake ikachukuliwa
Mkewe ana uraia wa usa ingawa ni mbongo
Amekuja kurudishwa na mama kuwa mkuu wa wilaya juzi
So kwa ufupi ni jasusi mbobefu
Duhh... kumbe Tz mambo mengi sana huwa yanatendeka hatujuiKiufupi alikuwa Marekan muda mrefu akifanya uchambuzi wa siasa kwenye redio kama bbc/voa kumbr alikuwa jasusi
Akarudishwa bongi na kuimgia usalama
2015 alikuwa team ya membe walipoingia akina magu akaanza kufanyiwa fitina
2016 akapelekwa congo kama mwanadiplomasia ili aondolewe pale usalama
2019 akarudi mjini akawekwa benchi(inasemekana wakubwa usalama wakawa wanaogopa elimu yake/exp yake kuwa atachukua cheo chao akapigwa fitina kuwa ye ndo anamlisha kigogo info akachukuliwa na watu wasiojulikana akafichwa 3month hatyjui alipo
Mchrpuko wake ndo ulimshtua wife wake kuwa jamaa anauawa maana hawana ukweli juu ya wanachomtuhumu
Mkewe akawasiliana na wifi yake aongee na mmewe( mdogo wake matinyi ameolewa na cag kichele) so kichele akaongea na Magu kuwx shemeji yangu amechukuliwa na usalama 4month now wanaweza mpoteza mazima ndo Magu kuingikia kati
Jamaa akaachiwa ila akawekwa chini ya uangalizii pasport na kila electronic home kwake ikachukuliwa
Mkewe ana uraia wa usa ingawa ni mbongo
Amekuja kurudishwa na mama kuwa mkuu wa wilaya juzi
So kwa ufupi ni jasusi mbobefu
Ushaambiwa kasoma na Kabila.. nadhani ushahisi anatoka kwa wala nchi... hahahahaaaKwa hiyo ameteuliwa kwa sababu yeye na mdogo wake ni watu wa vitengo?
Amewahi kufanikiwa katika jambo gani ambalo TAIFA linaweza kujivunia?
Creativity yake imelala kwenye maeneo gani? Is he from familia bora or bora familia?
Kamuulize Paskali 'Njaa' atakupa uzoefu wake kwenye mambo haya.Kutoka wilayani temeke mpaka kwenye Shina la asali ikulu kweli kuna watu waganga wao hawalali sio Mchezo
Yaan 'Paskali Mayala' huyu huyu wa humu JF?Kamuulize Paskali 'Njaa' atakupa uzoefu wake kwenye mambo haya.
Waganga baba kuna watu waganga wao wana dawa kali hawalali dawa inachemshwa kichwa chini miguu juu chikeke tena 'atapangiwa majukumu mengine'
Chikeke na Chitenge ni Wanu Ameir tofiauti kabisa NchengerwaKitenge anasubiria ukurugenzi wa tbc
He! Tumesoma wote chuo cha AGM pale Maritime Sokoine huyu jamaa akionekana wa kawaida kumbe alificha makombora yote haya?!Kiufupi alikuwa Marekan muda mrefu akifanya uchambuzi wa siasa kwenye redio kama bbc/voa kumbr alikuwa jasusi
Akarudishwa bongi na kuimgia usalama
2015 alikuwa team ya membe walipoingia akina magu akaanza kufanyiwa fitina
2016 akapelekwa congo kama mwanadiplomasia ili aondolewe pale usalama
2019 akarudi mjini akawekwa benchi(inasemekana wakubwa usalama wakawa wanaogopa elimu yake/exp yake kuwa atachukua cheo chao akapigwa fitina kuwa ye ndo anamlisha kigogo info akachukuliwa na watu wasiojulikana akafichwa 3month hatyjui alipo
Mchrpuko wake ndo ulimshtua wife wake kuwa jamaa anauawa maana hawana ukweli juu ya wanachomtuhumu
Mkewe akawasiliana na wifi yake aongee na mmewe( mdogo wake matinyi ameolewa na cag kichele) so kichele akaongea na Magu kuwx shemeji yangu amechukuliwa na usalama 4month now wanaweza mpoteza mazima ndo Magu kuingikia kati
Jamaa akaachiwa ila akawekwa chini ya uangalizii pasport na kila electronic home kwake ikachukuliwa
Mkewe ana uraia wa usa ingawa ni mbongo
Amekuja kurudishwa na mama kuwa mkuu wa wilaya juzi
So kwa ufupi ni jasusi mbobefu
Wa dini yanguNaomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.
Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea Taifa au Serikali pale tunapolazimika kufanya hivyo.
Je, kuzungumza na waandishi wa habari akiwa DC Temeke linatosha kuwa chanzo cha kuwa msemaji wa serikali?
What are the quality behind appointment
Nachojua alisoma na Joseph KabilaNaomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.
Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea Taifa au Serikali pale tunapolazimika kufanya hivyo.
Je, kuzungumza na waandishi wa habari akiwa DC Temeke linatosha kuwa chanzo cha kuwa msemaji wa serikali?
What are the quality behind appointment
Mobhare Matinyi ni mtu na nusu kuliko yule wa BBC milokuwa mkimpigia debe ... zaidi ya saba alioloondoka nalo hana zaidi.Naomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.
Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea Taifa au Serikali pale tunapolazimika kufanya hivyo.
Je, kuzungumza na waandishi wa habari akiwa DC Temeke linatosha kuwa chanzo cha kuwa msemaji wa serikali?
What are the quality behind appointment
Katiba inasemaje kuhusu hiyo nafasi?Naomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.
Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea Taifa au Serikali pale tunapolazimika kufanya hivyo.
Je, kuzungumza na waandishi wa habari akiwa DC Temeke linatosha kuwa chanzo cha kuwa msemaji wa serikali?
What are the quality behind appointment
Ni team Membe so ni team Nape.Nape ndo kampogia chapu kwa Samia .Imeenda hiyo.Kiufupi alikuwa Marekan muda mrefu akifanya uchambuzi wa siasa kwenye redio kama bbc/voa kumbr alikuwa jasusi