Mwenye dawa ya Kuondoa ' nuksi ' tafadhali amsaidie nayo Kocha Felix Minziro

Kama ni nuksi amejiwekea yeye mwenyewe alipokuwa kocha wa prisons alitanguliza mapenzi yake kwa Yanga badala ya kusimamia taaluma ndio akiingiza timu ligi kuu wanajua kuna pointi sita ataenda kuzigawa kwenye ligi za chini yanga haishiri ndio maana wanamchukua
 
Imekaa Kimanara Manara hii post
 
aje majimaji atupandishie timu yetu maana ndio analiweza. ligi daraja la kwanza imejaa mipango mingi nje ya uwanja so kibongo bongo kupandisha timu ubora wa kocha ni 35% hizi 65% ni uchawi, rushwa, fitina na marefa.
Ndo maana wanampendea kupiga hiyo kazi ya kupandisha timu daraja?
 
shida kubwa ya huyu jamaa ni UYANGA. team yake ikiiingia ligi kuu maana yake ni kuwa tayari imeshapoteza point 6 kabla hata haijacheza na yanga. Huwa ni Point sita zipo tayari kwa ajili ya mechi zake na yanga. sasa wanaofaham mpira hawataki mambo hayo ya kuwapa point team pinzani mezani. ndo maana wanaona kuanzia hapo sasa waendelee wengine walio serious yeye akarudi kule chini ambako hakuna yanga. na ikija kutokea yanga imeshuka daraja mtaona minziro anapata team za VPL bila shida. ama sivyo apate team ambazo tayari zimeshabinafisha point zao yanga..kama toto africa n.k
 
Kuna ka ukweli Fulani, angekuwa anakaza kama kina Matola na Julio wanavyoikaziaga Simba pamoja na mapenzi yao ingekuwa vigumu kutemwa.
 
tatizo lake lipo hapo... na wapenda soka wengi hilo linawakwaza. kweli akajifunze kwa wenzie hao wawili. team zinapofika uwanjani unazi unatakiwa kuwekwa pembeni ..ndo maana mpira wetu hauendelei sababu kuna team zinaamini kabisa toka ligi inaanza kuna sehemu zitachukua tu points. na hii husababisha zile team za kipuuzi mara nyingi zishuke daraja. na jambo hili lilituharibia sana yanga.... maana tulikuwa tunaanza ligi tukijua tuna point 27 kibindoni. toka team zetu 3. hizo team zikishuka daraja au kubadilisha kocha basi tunaanza kuwa na tatizo. tanzania prison ,mbeya city makocha waliziharibu hizi team... toto africa ndo usiseme hii huwa inakuwa ina mkataba kabisa kwa yanga..... sasa minziro anapokuwa na team moja wapo katika ligi kuu inajulikana kabisa kuwa kuna point 6 za yanga. halafu kuna mwingine alikuwa mkwasa naye anaacha point 6 kwa yanga...

ukija kwa mwambungu naye alikuwa anawachia yanga point kadhaa sababu ya mapenzi yake kwa hiyo team.. sasa makocha hawa wanapokosekana team zinabadilika na ndicho tulichokiona kwa mbeya city,prisons mwaka huu hazikufungwa kirahisi na pia kuna team ambayo ilimfunga yanga.... ule ushkaji haukuwepo tena... ili mpira uendelee unazi unapaswa kuwekwa pembeni. halafu suala hil pia liende kwa wachezaji wanaouza mechi.. kuwa kwa sababu yeye anaipenda team X siku ya mechi anauza ushindi. nasikia wachezaji hawa hutumika pia kupenyeza mlungula kwa wenzao ili team waipendayo ishinde. tukienda sportspesa huko hawana hayo mambo wanatugonga tu.....

Back
Top Bottom