Mwenye dc controller ya canon 2425 tuwasiliane

Mwenye dc controller ya canon 2425 tuwasiliane

Jkitamoga

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
33
Reaction score
11
P. Mashine yangu imeeandika error 000733000 na NImeambiwa kuwa Dc controller imeungua hivyo wenye spare hiyo au duka linalouza tuwasiliane. Maexpert wote karibuni kwa ushauri.
 
P. Mashine yangu imeeandika error 000733000 na NImeambiwa kuwa Dc controller imeungua hivyo wenye spare hiyo au duka linalouza tuwasiliane. Maepert wote karibuni kwa ushauri.
Weka picha na part number nikutafutie Dubai
 
Back
Top Bottom