Mwenye digrii za Marketing kibao anashindwaje kujua exchange rate kwenye interview ya exporting company inayohitaji Export marketing director?

Wengi wa wale wanaojiita wasomi huwa hawana muda wa kupitia interview technique, Export marketing Director, exchange ni lazima uitarajie, uta export nini kama hujui exchange rates? Na siyo tu exchange rates walipaswa kujua na currencies mbalimbali zile ambazo ni common kwenye export.
Mimi ukishaniita kwenye interview lazima kwanza nikutafute niione website yako ni aangalie vitu muhimu kama Our People, Vision, Mission nk. From there narudi kwenye comon interview questions napita nazo kama mia hivi, Naangalia watu kama Indeed huwa wanahitaji nini zaidi, naangalia tena watu LinkedIn .
 
Bulllshit kawaulizeni fx traders sasa hao kuajiriwa hawatakagi maana wanapenda uhuru
 
huko ni kukomoana ndugu kua vitu viko automated kwa kwa ajili ya mambo hayo ku monitor exchange rate , and a perfect employee does not exist, hapo hapo kwenye hiyo field yako hata mimi nawea kukufanyia interview na usipate hata 10%
Huyo mwomba kazi aende huko automated online mitandaini kabla kuingia interview aje na jibu
 
Uko vizuri sana mkuu uko right asilimia 100
 
uaminifu ni tatizo sana kuna kijana nilimuajiri akawa kaniibia kama mara kumi hivi hizi elfu 70 au siku nyingine elfu 40 nikamuonya mara kama 15 hivi siku tofauti hakusikia nikawa nahofia atanipiga pakubwa nikafukuza na watu nnao waajiri kwenye business zangu huwa nawalipia hadi rent ya kuanzia maisha na kitanda na godoro nawapa ila vijana wa kibongo ni useless kwenye uaminifu saizi nimetafuta wenye elimu ya chini kidogo na maisha yaliwapiga naona tunaenda vizuri
 
Swali la mnyama kwenye noti ya 10,000 jibu lilikuwa na marks 70 hili la exchange jibu lake lilikuwa na marks 60... 😂 hii interview ilikuwa na marks 1,000!

Kwani anaomba u director wa Forex?? Exchange rate haziko fixed hakuna kazi hapo, interview za kumpa mtu fulani kazi siyo kila mtu!

Everyday is Saturday................................😎
 
Wengi humu hawajui maan ya interview kabisa afu unakuta ni wasomi. Interview haibase kweny ulichosoma kweny vitini peke ake. Muajiri yoyote anapenda sharp mind zaidi. Em fikiria kwa mfano kweny field ya umeme kuna sehemu watu walikutana na swali la mtego sana na walishindwa hawa ndo wabongo. Motor inakuwaga imeandikwa aina yake na uwezo wake kweny motor pale pale. Mtu akaulizwa nkitaka ninunue motor ya aina fulani akaoneshwa ntafanyaje? Msomi wetu akaanza ooh ntafungua ntapima sijui vitu gani kwasababu ya kukariri vitini. Kumbe jibu ni jepesi tu ntasoma zile particulars basi ntaenda dukani.
 
Huyo mwomba kazi aende huko automated online mitandaini kabla kuingia interview aje na jibu
mfano ndo ivo unakuja kweye interview, alafu nikuulize bei ya ounce moja ya gold leo kwenye soko la dunia umeuzwa shingapi? utajibu nn?? na ni kitu ulikua hutegemei, wakati ni kitu unawea google dk 0 tu ukapata majibu, tuache akili za kizamani jamani
 
Uongo huo
 
Wewe umekariri hilo swali linajibika vizuri tu. Unamwambia kabisa mpaka nakuja hapa interview ilikuwa kiasi fulani unampa na reference huwezi mpangia interviewer maswali. Sasa we na elimu yake yote mtu mpaka anaenda kuomba kazi hajui hata exchange rate 2. Nani anaonekan mjinga hapo?
 

Hivi huko marketing kuna digirii ngapi kiasi hata ku qualify mtu kudaiwa kuwa nazo kibao?

Au hizi ni akili zile zile za nyani wale wale tokea sasa kwenye pori jipya la kule buligi?
 
Siku hizi vijana tunataka mafanikio sio nafanya kazi kwako haunipi mshahara kwa wakati kumbuka na Mimi nina ndoto zangu nataka kuzifikia kwanini nisikuibie ili teheshimiane
 
Low IQ
Hata kudanganya huwezi ndugu
 
Kwa nini JF watu hupinga kila kitu, 90% hupinga na kubeza kila kinacholetwa humu jf.Je jf huletwa vitu vya uongo, kama ni vya ukwe-i kwa nini hupingwa na watu 3/4.
 
yaani sisi tunazijua rate za hawa wafanyabiashara mf.nmb,crdb nao wana bei za ushindani kulingana na vigezo vyao..b.o.t nao wana rate yao sasa wewe uliwauliza kuspacify...kama hakuna aliyekujibu avarage ya 2300 basi walifail lakini kama yupo alipata na alikuwa sahihi
 
mkuu uko sahihi waomba kazi wengi interview wako zero wanadhani interview ni class room examination

Hakuna anayehitaji ana kuwafanyia classroom examination sababu vyeti tayari wanavyo na walikosoma walisha wa satisfy academically kuwa wako ok kwa hiyo kuhoji sana academic hakuhitaji marks ziwe nyingi kwenye maswali ya intervuew ya Academic kunahitaji practical questions zaidi sio academic ambazo tayari walisha submit kwako HR
 
Jana ulikuja uzi wa picha kwenye noti leo exchange rate 😆😆wasomi mnatabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…