Mwenye digrii za Marketing kibao anashindwaje kujua exchange rate kwenye interview ya exporting company inayohitaji Export marketing director?

Samahani ndugu yangu, wewe hapo ulipo umeajiri watu wangapi?
 
Besides marketing director anakuwa subordinates wa ku deal na hayo mambo, yeye ni mtu mkubwa sana ku deal na daily exchange rates.
Kwa hiyo ukubwa wake wakimdanganya na subordinates is it ok? sababu yeye ana misuti mikubwa gar mirupurupu mikubwa na nyumba kubwa anayolipiwa na kampuni?
 
Mkuu kazi kama hizo mwe mnatatufuta vijana tunaoshinda na exchange rate kila siku.
 
Nimependa hii comment yako good sana ....Mimi nawaza kufungua branch ya biashara yangu mpaka sasa sijapata mtu wakusimamia uaminifu kwa vijana ni tatizo kubwa sana

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Mkuu sio kwamba vijana wote sio waaminifu, tatizo ni kwamba sehemu unazowatafuta hao vijana hawapo.
 
Ishu ni kua huyuu jamaa anaexpect watu wafeli ili alete uzi hapa. Haleti mirejesho ya waliofanya vizuri analeta yale/wale waliofeli tu.
Hata siku wakijibu yote vizuri utatafuta tu sababu ukosoe. Mliokwenye system mna tabia ya kuona wenzenu wasioajiliwa ni wazembe sana, wasio na maarifa, wasiojiongeza hamnaga tofauti yenu na wanasiasa wanaopigia chapua kujiajiri na kutotegemea ajira ilhali wao hawajawahi kuishi nje ya ajira zao hata kwa masaa tu.
 
Vilaza mna tabu sana maswali yenu ni vile vijana wana shida ya ajira tu...
 
nne lilikuwa more practical lilihoji exchange rate ya shilingi ya Tanzania na dola leo ni shilingi ngapi likiwa na marks 60 ?.wameshindwa kujibu very sad
My friend; this is not a practical question. Hata nyie inaonesha kampuni yenu haijui inachokifanya. Kujua exchange rate ya muda huo haidaidii kwenye export trade
 
nyinyi ndio hamna akili,hela inabadilika kila sekunde,hilo swali huwezi ukajibu kiusahii
Kimsingi hili si swali la kibiashara . Linaweza kuwa la kibiashara iwapo mlengwa anatakiwa kufanya biashara ya fedha moja kwa moja
 
Wazozaa Sana Ndugu CEO. Ukimpekua huyo degree holder hakosi hirizi hapo
 
Utakuwa wewe ni kilaza hufuatilii vyombo vya habari hata mambo ya uchumi wa nchi yako? utakuwa msomi wa aina gani sasa tena wa biashara? kama hata ubadilishaji wa fedha hujui hata rate ya mwaka jana tu soko la hisa hapo daslam linakupa hata uelekeo hata wakujibu swali lako.badala ya 60marks angalao anaekusaili atajua huyu jamaa kwa kiasi fulani yuko sawa unapewa hata 35%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…