WAKUU HABARI.
Kiwanda kipo DAR. anahitajika mtu mwenye kujua chemistry atatakiwa kufanya kazi ya kupiga mahesabu how to mix to make some alloys. atafundishwa asiwe na hofu.
ambaye yupo tayari atume credentials zake ikiwemo diploma yake na short cv ...... sogeamoja@hotmail.com
thanks
ni kwa ajili ya mwenye diploma tu. mwenye degree hatakiwi. just to do some simple calculations za ratio za elements kwenye compound. hata form iv anaweza lakini anatakiwa mwenye diploma.