Mwenye experience na biashara ya pub naomba msaada wako

daniseckadam

Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
72
Reaction score
30
Wakuu kwa yoyote mwemye experience na biashara ya pub naombeni msaada kwenu huwa mnamanage vipi,je vitu gani huhitajika ili pub iwe imejitosheleza,stocks zake mnamanage vip.
 
Ngoja waje wadau watakujibu. Hongera kwa kumiliki pub mkuu
 
Mkuu nipo na manage to c mmiliki,ila thanks
Kuna option ya kutumia computer (software) ambapo pubs zile standards kama samaki samaki au migahawa ile mizuri ndo hutumia. Ni kauwekezaji kadogo tu. Mfumo wa manual ni mgumu sana kwa kweli lazima uchemshe..Software unaweza jua kabisa nani kaingiza loss sababu anavyochukua vinywaji mhudumu, yule wa pale counter ana record kwenye PC kwamba kachukua nini na anapeleka kwenye meza ipi (wanaita tabs). Ndo maana ukienda pale samaki samaki wanakupa kama samaki fulani hivi ana namba pale ina maana kuna tab ipo open kule kwenye computer. KWa hiyo kila mhudumu akirequest vinywaji lazima asem ni vya tab ipi. Mwisho wa siku wakifunga tab inatoka receipt nzima. KWa hiyo hapa una uwezo wa ku track bishara yako vizuri. Na utaweza kujua kama stock imepungua ama vipi. Na pia unaweza kupata report ya kujua vinnywaji gani vinatoka sana
 
TAFADHALI,HIYO SOFTWARE NAWEZA KUIPATAJE?
 
Unahitaji viterminal kama vile vya ma cashier kwenye supermaket (i.e Nakumat). Nafikiri Business Connection au BMTL wanaweza wakawa na full solutions ni vizuri ukawatembelea...
 
ASANTE,NITAKUPA FEEDBACK NIKIWAONA
 
Habari mdau, nina system inaweza kufit na mahitaji yako. DM for more info
 
Attachments

  • IMG_20161103_064647_788.jpg
    IMG_20161103_064647_788.jpg
    52.5 KB · Views: 75
  • IMG_20161103_064723_274.jpg
    IMG_20161103_064723_274.jpg
    35.9 KB · Views: 82
  • Screenshot_2016-11-03-06-09-49.png
    Screenshot_2016-11-03-06-09-49.png
    24.9 KB · Views: 72
Back
Top Bottom