Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Madawa mengi hukusababishia kuharisha tu...Hahahaa nitafanya ndo maana nilitaka nijue side effect ya haya majani ili nitumie vyote kwa pamoja(majani na zoezi ili nione outcome mapema)
Madawa mengi hukusababishia kuharisha tu...
Kama ni mwanaume ni vizuri kufanya mazoezi kwani itakuweka fit zaidi hata panya road wakitokea ujue cha kufanya...
Diet iliyopitiliza na madawa si muafaka kwa wanaume.
Thanks sana wakuuMazoezi na diet ndo muhimu. Haya ya madawa sijui majani yanakufanya kuharisha na kuondoa nutrient muhimu mwilini kabla hazijawa absorbed kwenye mfumo wa damu. So unakonda kwa kukosa lishe unakosa afya
Kula portion ndogo za chakula kisicho na mafuta na fanya mazoezi daily. Lifestyle inachangia sana kubadili mwili.
Look at the french. Wanapenda kula vzr lkn wanapenda zaidi kutembea au baiskel kuliko magari na hawapendi kutumia lift au escalator kama umbali wa ghorofa sio mkubwa
Daaah! Sasa hayo mazoezi niyapangilieje ili yaweze kunipa impact nzuri kama unajua nisaidie ndugu maana ni balaa sasa
Thanks sana wakuu
yaani natamani nipate mtu wa kufanya mazoezi nimenenepa kweli mkuuMimi huwa naruka kamba mara 300 asubuhi na push-up 30 kila baada ya siku mbili. Hii ina manufaa makubwa sana, nilikuwa na kitambi kikubwa cha pombe, lakini sasa mwili ume-balance. Nafanya hivyo kwa sababu sina muda wa kukimbia, lakini kama una muda wa kukimbia ni nzuri zaidi, angalau mara 10 unazunguka uwanja.
mkuu alifanya diet gani akapungua kg 13 cause am 100kg now pls helpndugu mimi nishajaribu hizo dawa siku moja, niliacha siku hiyo hiyo maana niliipiga wakayi sio, yani nimeamka asubuhi nikainywa then nikaingia mishe posta daah kilichonipata nilishikwa na tumbo la kuhara nikiwa kwenye daladala na kila nikisaka choo posta sipati huwezi amini nilikipatia mnazi mmoja, nishakaza misuli mbaya... nikasema sigusi tena, nikajaribu zile diet zao za wiki mbili kilo 10 unapungua ila kabla ya kuanza nikapewa ile diet nikaanza kuhisi njaa pale pale, kwa mwanaume inalegeza sana hizi diet, kuna jamaa angu alipiga diet akapungua kweli kama kilo 13 ndani ya mwezi ila alikua dhaifu kochi kunyanyua hawezi...
nilichoamua ni kufanya mazoezi kila siku na kupunguza mafuta na sukari na kutumia white meat a.k.a protein kwa wingi, kunywa maji mengi, kuacha soda na kupunguza bia sasa hv mpaka wikiendi...
mazoezi nayofanya
1. kuruka kamba
2. pushups 50-80 per day.
3. situps za tumbo 75-100 per day
4. kutumia roller 20 round per day.
5. kuzunguka uwanja 10 rounds per day.
nikitoka hapo nalala murua sana na naona improvements kibao...
ILA ALL IN ALL MAZOEZI YANAHITAJI MOYO SANA KUNA SIKU NATAMANI NISIGUSE ILA NAENDA TU.
MKUU HEBU SHARE MAIL YAKO NIKUTUMIE...mkuu alifanya diet gani akapungua kg 13 cause am 100kg now pls help
Unaweza kunipatia hiyo diet aliyotumia akapungua kg 13ndugu mimi nishajaribu hizo dawa siku moja, niliacha siku hiyo hiyo maana niliipiga wakayi sio, yani nimeamka asubuhi nikainywa then nikaingia mishe posta daah kilichonipata nilishikwa na tumbo la kuhara nikiwa kwenye daladala na kila nikisaka choo posta sipati huwezi amini nilikipatia mnazi mmoja, nishakaza misuli mbaya... nikasema sigusi tena, nikajaribu zile diet zao za wiki mbili kilo 10 unapungua ila kabla ya kuanza nikapewa ile diet nikaanza kuhisi njaa pale pale, kwa mwanaume inalegeza sana hizi diet, kuna jamaa angu alipiga diet akapungua kweli kama kilo 13 ndani ya mwezi ila alikua dhaifu kochi kunyanyua hawezi...
nilichoamua ni kufanya mazoezi kila siku na kupunguza mafuta na sukari na kutumia white meat a.k.a protein kwa wingi, kunywa maji mengi, kuacha soda na kupunguza bia sasa hv mpaka wikiendi...
mazoezi nayofanya
1. kuruka kamba
2. pushups 50-80 per day.
3. situps za tumbo 75-100 per day
4. kutumia roller 20 round per day.
5. kuzunguka uwanja 10 rounds per day.
nikitoka hapo nalala murua sana na naona improvements kibao...
ILA ALL IN ALL MAZOEZI YANAHITAJI MOYO SANA KUNA SIKU NATAMANI NISIGUSE ILA NAENDA TU.
hata ufanye mazoezi siku nzima, kama unafakamia mawanga na maprotein bila utaratibu utanenepeana tu kama kiti moto. hata pepe kale alikuwa anafanya mazoezi. rule of thumb: punguza kiasi cha mlo wa wanga na protein.ndugu mimi nishajaribu hizo dawa siku moja, niliacha siku hiyo hiyo maana niliipiga wakayi sio, yani nimeamka asubuhi nikainywa then nikaingia mishe posta daah kilichonipata nilishikwa na tumbo la kuhara nikiwa kwenye daladala na kila nikisaka choo posta sipati huwezi amini nilikipatia mnazi mmoja, nishakaza misuli mbaya... nikasema sigusi tena, nikajaribu zile diet zao za wiki mbili kilo 10 unapungua ila kabla ya kuanza nikapewa ile diet nikaanza kuhisi njaa pale pale, kwa mwanaume inalegeza sana hizi diet, kuna jamaa angu alipiga diet akapungua kweli kama kilo 13 ndani ya mwezi ila alikua dhaifu kochi kunyanyua hawezi...
nilichoamua ni kufanya mazoezi kila siku na kupunguza mafuta na sukari na kutumia white meat a.k.a protein kwa wingi, kunywa maji mengi, kuacha soda na kupunguza bia sasa hv mpaka wikiendi...
mazoezi nayofanya
1. kuruka kamba
2. pushups 50-80 per day.
3. situps za tumbo 75-100 per day
4. kutumia roller 20 round per day.
5. kuzunguka uwanja 10 rounds per day.
nikitoka hapo nalala murua sana na naona improvements kibao...
ILA ALL IN ALL MAZOEZI YANAHITAJI MOYO SANA KUNA SIKU NATAMANI NISIGUSE ILA NAENDA TU.
Kweli watu tunatofautiana,nilienda depo la jkt,kabla ya kuanza kozi nilikuwa na 57kg baada ya kumaliza depo nilikuwa na 64 kg,hivyo kwangu mazoezi hayanisaidiiMimi huwa naruka kamba mara 300 asubuhi na push-up 30 kila baada ya siku mbili. Hii ina manufaa makubwa sana, nilikuwa na kitambi kikubwa cha pombe, lakini sasa mwili ume-balance. Nafanya hivyo kwa sababu sina muda wa kukimbia, lakini kama una muda wa kukimbia ni nzuri zaidi, angalau mara 10 unazunguka uwanja.
Mzee umemaanisha fat au protein? Maana katika vitu recommended kwenye diet ni protein... Na visivyoshauriwa ni mafuta wanga na sukari....ha
hata ufanye mazoezi siku nzima, kama unafakamia mawanga na maprotein bila utaratibu utanenepeana tu kama kiti moto. hata pepe kale alikuwa anafanya mazoezi. rule of thumb: punguza kiasi cha mlo wa wanga na protein.
Ulivyokua depo uliongeza kula au ulipunguza? Maana mazoezi bila kuregulate mlo ni Yale Yale tu...Kweli watu tunatofautiana,nilienda depo la jkt,kabla ya kuanza kozi nilikuwa na 57kg baada ya kumaliza depo nilikuwa na 64 kg,hivyo kwangu mazoezi hayanisaidii
ila castle lite unazipenda afu tumbo haupendi,makubwa haya..Sasa mazoezi nimefanya tumbo ndo linazidi na mm tumbo silipendi
duuuh!mkuu alifanya diet gani akapungua kg 13 cause am 100kg now pls help
Kumbuka excess proteins inahifadhiwa kwenye mwili as fat in form of fatty acids. Nyama, maziwa ngano products zinakiwango kikubwa cha proteins.Mzee umemaanisha fat au protein? Maana katika vitu recommended kwenye diet ni protein... Na visivyoshauriwa ni mafuta wanga na sukari....
Hebu kaangalie vizuri...
By the way wengine tunafanya mazoezi kujiweka fit tu si kupunguza kilo 10