Hayo majani nilishawahi kuyatumia yanasaidia kukufanya kupunguza ham ya kula lakin hayakufany upuungue,
msaada ambao ulinisaidia mimi kupungua na mpaka leo unanisaidia ni mazoez na kupunguza kula sana,kula vyakula vyenye afya basi.mazoez najua wengi ni wavivu kufanya hasa wanawake lakin mimi nilichofanya nilitafuta cd za mazoez hizo ndio zinanidaia maana unafanya muda wowte unaonataka