Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Nyama aina gani? Kuna white meat na red meat ujue? Ukiacha vyakula vya protein kinachofuatia si utaambiwa ule Maji? Muhimu ni kula kwa kiasi tuKumbuka excess proteins inahifadhiwa kwenye mwili as fat in form of fatty acids. Nyama, maziwa ngano products zinakiwango kikubwa cha proteins.