Mwenye experience na Nissan xtrail pliz anijuze uzuri na ubovu wake

Mwenye experience na Nissan xtrail pliz anijuze uzuri na ubovu wake

Inatatizo la kuchemsha, mbaya zaidi huwa halitibiki kirahisi. Ni pasua kichwa hizo Gari.
Hakuna gari yenye tatizo la kumchemsha as an inherent characteristic, kwani kuna gari huwa haichemshi given the right circumstances?
 
mkuu mm Sijui..mapenzi yangu siku zote yapo kwenye toyota. shawahi Kaa na rav 4 old model miaka saba had nkafanana nayo, na hata sasa nipo na toyota hizo hizo.

just a Little advice, go for toyota!!
 
Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo Nissan achana nalo. Hawa wanaosema wamekaa nayo wana hela. Kama wewe sio za mawazo, nunua. Ila kama hutaki kupata mawazo yanayo punguza kitambi usinunue.

Watu ninao wajua wenye hizo gari wanafunga engine ya Toyota. Kuna mdau kalisifia alafu kasema alinunua engine 1m, je na wewe unataka gari baadae ubadili engine, maana ndio sifa hiyo. Ikigonga 100k km ujue anytime mzigo unazima. Gari lina umbo zuri lakini plastic, ukipata nalo ajali... Aiseeeeee.

Swali la mwisho jiulize kwanini yapo cheap compared to competitors? Befoward, Xtrail la 2004 bei ipo chini ya Rav4 ya 1998. Jiulize tu, why is it so damn cheap. Cheap is expensive. Advice kama mshiko sio wa kuunga unga, vuta huo mchuma.

-callmeGhost
 
Hakuna gari yenye tatizo la kumchemsha as an inherent characteristic, kwani kuna gari huwa haichemshi given the right circumstances?
Shida ya Gari hizi ni kwamba zikichemsha cylinder head inapinda. Ndiyo ugonjwa ulivyo. Zingine zinaweza kuchemsha pia lakini tatizo linatibika siyo hizi. Ukitaka kupata ukweli waone walionazo. Kuna jamaa yangu alinunua kwa 23m na akauza kwa 11m ndani ya miezi mitatu 3 kwasababu ya kuchemsha.
 
Usisahau kutembea na waya kwa ajili ya kufungia body itakapochoka boss.
 
Back
Top Bottom