FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hakuna gari yenye tatizo la kumchemsha as an inherent characteristic, kwani kuna gari huwa haichemshi given the right circumstances?Inatatizo la kuchemsha, mbaya zaidi huwa halitibiki kirahisi. Ni pasua kichwa hizo Gari.
UongoHizo gari sizipendi hata kidogo. Maana ni vigari vidogo hafu vina engine kubwa na haviko luxury
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo Nissan achana nalo. Hawa wanaosema wamekaa nayo wana hela. Kama wewe sio za mawazo, nunua. Ila kama hutaki kupata mawazo yanayo punguza kitambi usinunue.
Cylinder head plastic? Mkuu hebu tujuze ina uwezo kiasi gani kuhimili joto la engineUmbile la body yake inapendeza lakini sehekubwa ya gari hiyo ni plastic na baadhi ya bolt zake ,yakwangu niligundua hata Cylinder head yake ilikuwa plastic nikaamua kuiuza baada ya kuanza matatizo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Umelenga mulemule.....injini za gari hizii ni mbovu kabisaaaaGari ni matunzo. Namiliki hiyo Nissan X-trail mwaka wa 6. Mwaka jana engine ilisumbua badala ya kuitengeneza nikanunua used kwa 1m pale Ilala, juzi nimetoka shamba mkoani inachapa mwendo kama kawaida.
Shida ya Gari hizi ni kwamba zikichemsha cylinder head inapinda. Ndiyo ugonjwa ulivyo. Zingine zinaweza kuchemsha pia lakini tatizo linatibika siyo hizi. Ukitaka kupata ukweli waone walionazo. Kuna jamaa yangu alinunua kwa 23m na akauza kwa 11m ndani ya miezi mitatu 3 kwasababu ya kuchemsha.Hakuna gari yenye tatizo la kumchemsha as an inherent characteristic, kwani kuna gari huwa haichemshi given the right circumstances?