Mwenye four ya 27 O level anaweza kwenda kusomea nini?

Mwenye four ya 27 O level anaweza kwenda kusomea nini?

Achague fani nzuri anayoipenda kati ya electrical, plumbing, driving, computer, welding, au uoperator akapige VETA msipoteze pesa bure...
 
Anaweza kwenda vyuo karibu vyote unavyovijua . Inategemea tu anaenda kusoma nini
Nikiri upande wangu sina uelewa hasa wa vyuo vinavyochukua wanafunzi waliotoka form four wenye matokeo hayo!Nilidhani ualimu hata wa shule za msingi angefaa lakini huko nako nimejibiwa kuwa Hana sifa!😭😭
 
Back
Top Bottom