Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Aende JKT, toa Rushwa aingie Polisi , atasoma soma Kwa kuunga unga na vikozi kozi vya kijeshi, Kisha atakua OCD, aanze kuwasumbua CHADEMA.Ushauri wadau ,kwa mwenye four ya 27 O level anaweza kwenda kusomea nini?Msaada tafadhali
UalimuUshauri wadau ,kwa mwenye four ya 27 O level anaweza kwenda kusomea nini?Msaada tafadhali
VETA siku izi ni kama postgraduateFani zipo nyingi
VETA ndio kipaumbele
Nimejaribu huko nimeambiwa hawachukui tena form fourUalimu
Ana four ya 27:CIVICS-D,HIST-D,GEO-D,E/D/KIISLAMU-F,KISWA-C,ENGL-C,BIO-D,B/MATH-FKama ana D nne aanzie certificate then diploma n.k. onyesha matokeo yake tukushauri vya kusomea.
Apply community development,laws na kozi zote za art anaruhusiwa. Science na computing business hawezi chukuliwa kwa sababu amefeli maths.Ana four ya 27:CIVICS-D,HIST-D,GEO-D,E/D/KIISLAMU-F,KISWA-C,ENGL-C,BIO-D,B/MATH-F
UchungajiUshauri wadau ,kwa mwenye four ya 27 O level anaweza kwenda kusomea nini?Msaada tafadhali
Huyu ni mtoto wa kike!!Kwa mila zetu haruhusiwi hiyo kaziUchungaji
Hata hivo hafai naona hata somo la dini kafeli, kislamuHuyu ni mtoto wa kike!!Kwa mila zetu haruhusiwi hiyo kazi