Sam Richards
Member
- May 3, 2019
- 76
- 155
Kama kuna mtu anahitaji dereva wa kukodi kwa trip au safari basi naomba anijulishe..ni udereva wa muda trip tu naamnisha ukiwa umechoka au unahitaji kuenda sehemu yoyote ila unahitaji kusaidiwa katika kuendesha gari basi unaweza kunitaarifu.
MUHIMU.
Ninafanya part time jobs za udereva malipo ni baada ya kazi yangu na sehemu utakayohitaji kufika na kukurudisha kwako.
AMRI.
Ninasikiliza na kufuata amri yako tajiri, ukisema zima gari inazimwa ukisema washa gari inawashwa, nitume popote upendapo lolote litafanyika
MALIPO
malipo ni makubaliano tu baina yangu na wewe.
PIGA SIMU NAMBA
0621 622 070