Habari wataftaji wenzangu. Natafuta fremu niweke spea za pikipiki hivyo kama unajua sehemu kuna gereji ya pikipiki kwa dar ila hamna duka la spea nijuze.
Pia kama wewe ni fundi mzuri tushirikiane wewe uweke gereji yako pembeni na mimi niweke duka tusaidiane wateja.
Nawasilisha.
Pia kama wewe ni fundi mzuri tushirikiane wewe uweke gereji yako pembeni na mimi niweke duka tusaidiane wateja.
Nawasilisha.