Mwenye habari kamili kuhusu tukio la 'The Battle of Manzese' atuelezee

Mwenye habari kamili kuhusu tukio la 'The Battle of Manzese' atuelezee

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
152
Reaction score
196
Wakuu Habari zenu?

Nimeona mahali jamaa akizungumzia kuhusu hili tukio lililopewa jina la Battle of Manzese.

Alidai kwamba kuna wasomi walitaka kuliamsha balaa, ambalo lilitokana na kuwatetea wananchi masikini.

Lakini badala yake wananchi wakakimbia, wakawaachia msala wasomi wa vyuo vikuu! Sasa nilikuwa naomba mwenye habari kamili kuhusu tukio hili atukumbushe ambao hatukuwa tunalijua.
 
Wakija nishtue mkuu ili na Mimi nipate kitu
 
Mimi Niko Manzese Huku sijasikia Bado hata Fununua. Mwenye Mwongozo Atueleze
 
Back
Top Bottom