Mwenye Habari za OSHO Yoga/Meditation-Pune, India Tafadhali!!

Mwenye Habari za OSHO Yoga/Meditation-Pune, India Tafadhali!!

Ni yale ya sodoma na gomora, ni yale ya samunge, ni yale ya kibwetere, na wengine wengi tu duniani

exploratory, exploitative, explicit, depressive, manic, as well as fun = lethal combination

I would advice against going there at any cost................. unless una matatizo au the felling of incompleteness katika sexual-ism yako
 
I think nitaenda huko nikajionee mwenyewe
usisahau kuaga wazazi kabisa, na uende na first aid kit yako

dont forget to write your will, coz many never make it back
 
Hakuna chochote cha kumfanya mtu abaki, Sana sana utawakuta wahindi wanamtukuza jamaa yao mmoja anayejiita Mungu lakini anahitaji passport na viza kutembelea nchi nyingine. Ni mojawapo ya vituko vinavyopatikana kule india.
 
Ndugu yangu,
Hiyo ni aina ya cult. Tena the highets order on earth. Nimeshuhudia bibi wa kizungu akitolewa mapepo na afterwards I had time to talk to her. Ni PM kama unataka kujua zaidi.
Kama unahusudu mambo ya freemanson na ulozi wa ngazi za juu,there you go. Right choice
 
Ngoja mimi nitauliza wahindi kwani nafanya nao kazi kama hii kitu iko namna hiyo.
 
Ngoja mimi nitauliza wahindi kwani nafanya nao kazi kama hii kitu iko namna hiyo.

Sawa mkuu na ukipata nyeti yoyote basi usikose kutumwagia hapa jamvini
 
Ndugu yangu,
Hiyo ni aina ya cult. Tena the highets order on earth. Nimeshuhudia bibi wa kizungu akitolewa mapepo na afterwards I had time to talk to her. Ni PM kama unataka kujua zaidi.
Kama unahusudu mambo ya freemanson na ulozi wa ngazi za juu,there you go. Right choice
Nimwagie more nyeti
 
wana kula ndogo nini ? nawasaidia kujieleza.
 
Kuna wakati nilisikia eti hapa Tz kuna dini wanasali uchi na wanapeana mambo wakati wa ibada. Nimejaribu sana kujua ni wapi ili nijiunge sijafanikiwa. Kuna anayejua ni wapi?

Jamani TUKO, Una mashetani? Huoni hizo ni dini za mashatani?
 
KUna jambo moja halijawekwa sawa hapa! je una pesa za kukufanya usirudi?
Kwa gharama za huko nilizozipata kwenye website yao, nina pesa ya kunitosha kukaa huko for 6 months
 
Kwa gharama za huko nilizozipata kwenye website yao, nina pesa ya kunitosha kukaa huko for 6 months

Hivi Vuvu...mpaka leo jamaa wanabania kutoa maujanja ya Pune.....kilichobaki...we nenda....halafu uje utupe black n white za huko.......ili na wengine tuende
 
Hivi Vuvu...mpaka leo jamaa wanabania kutoa maujanja ya Pune.....kilichobaki...we nenda....halafu uje utupe black n white za huko.......ili na wengine tuende
Anatakiwa aende akajionee mwenyewe
 
Back
Top Bottom