usisahau kuaga wazazi kabisa, na uende na first aid kit yakoI think nitaenda huko nikajionee mwenyewe
<br />eeeeeeehhhhhhhhhhh na sodoma pia??????
Nimwagie more nyetiNdugu yangu,
Hiyo ni aina ya cult. Tena the highets order on earth. Nimeshuhudia bibi wa kizungu akitolewa mapepo na afterwards I had time to talk to her. Ni PM kama unataka kujua zaidi.
Kama unahusudu mambo ya freemanson na ulozi wa ngazi za juu,there you go. Right choice
Kuna wakati nilisikia eti hapa Tz kuna dini wanasali uchi na wanapeana mambo wakati wa ibada. Nimejaribu sana kujua ni wapi ili nijiunge sijafanikiwa. Kuna anayejua ni wapi?
Mkuu ndio nataka niende huko nikajionee mwenyewe manake watu hapa jamvini wamegoma kueleza ukweli
Kwa gharama za huko nilizozipata kwenye website yao, nina pesa ya kunitosha kukaa huko for 6 months
Anatakiwa aende akajionee mwenyeweHivi Vuvu...mpaka leo jamaa wanabania kutoa maujanja ya Pune.....kilichobaki...we nenda....halafu uje utupe black n white za huko.......ili na wengine tuende