Mwenye Hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibari naomba aiweke hapa

Mwenye Hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibari naomba aiweke hapa

Umeuliza ujinga sana ! ni sawa na kumuuliza baba yako unamuomba karatasi ya mirathi yako
 
images (3).jpeg
 
Muungwana yeyote mwenye hati ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964 naomba a-share nasi
Hiyo ni sawa na kudai uone barua ya uchumba kati ya baba na mama yako. Watakuuliza unataka uone barua ya uchumba kwasababu gani? watakuona mwehu tu. Marekani ni Muungano wa nchi zaidi ya 40, sasa atokee mwehu mmoja aseme mwenye hati ya muungano wa nchi (majimbo) haya 50 ya Marekani aisambaze kwenye public. Inavyoonekana kuna watu waliochoshwa na amani.
 
kaka muungano wetu ni wa kidugu, hatuna document.
Lete hati ya kuunganisha Kigoma, Kagera, Mtwara, morogoro, Mbeya, Dar es salaam na Arusha kuwa nchi moja ya Tanganyika. Mambo yakifanywa na wazungu (wakoloni) ni sawa lakini yakifanywa na wamatumbi wenzetu ni nongwa. Tutajidharau hadi lini? hivi ni nani kasema Dar es salaam, Kigoma, Kagera, Arusha na dodoma ni nchi moja? mbona hata machweo na mawio, hali ya hewa na tabia za watu kwenye mikoa hii ni tofauti kabisa?
 
Back
Top Bottom