Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Wakuu kuna mtu anatumia hii namba +255784686681 kutuma sms kwenye simu mbalimbali na kujifanya yeye ni ofisa wa jeshi la wananchi kwamba kuna nafasi zimetoka apigiwe simu, ukimpigia na kumhoji maswali akishagundua umemstukia unaishia kuambulia matusi. Namba imesajiliwa kwa jina la Gervaz Lyeiza