The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,450
- 921
Nilivyosikia katabani kaoshi USA na ndiko alikosomea masuala ya video production
Nilivyosikia katabani kaoshi USA na ndiko alikosomea masuala ya video production[/QUOTE
Hata we naona unaishi USA maana hicho kiswahili chako
Mnatuletea mabigwig wa twitter humu hivi nao ni maceleb? kweli Tanzania kila mtu ni star.
Legendary au mpaka Diamond kila siku? We kama humjui you better shut up!!
Kama hajulikani huyo sio celeb wa kutuwekea humu bigwigs wa bballkitaa na tot huku
Nilivyosikia katabani kaoshi USA na ndiko alikosomea masuala ya video production[/QUOTE
Hata we naona unaishi USA maana hicho kiswahili chako
Umenifanya nicheke sana, hapana nilikuwa na type huku nafanya jambo flani sa siwajui mitouch screen
Sema simjui dada angu usiweke wingi.
Kuishi Usa kupiga video Siri ya mtungi ndo ushakuwa star bongo bana mtu akiishi ulaya basi ni celeb tayari.
Kwani umetajwa mbona unajishtukia ikikuuma basi imeku touch.
eeey karabani is a guy of his own,,hata bwana wako hamfikii
eeey karabani is a guy of his own,,hata bwana wako hamfikii
Initouch vp we km sio mtu wa hip hop huwez kumjua otherwise umekuja Dar kwa ajili ya chuo ndio ukahamisha na makazi hapo sawa.
Karabani back in days kama alikua IST na akina P-FUNK MAJANI ndipo walipounda kikundi chao kinaitwa NO NAMEZ. Hawa jamaa walikua wanarap kwa kiingereza na walikua na wanakipaji ya hali ya juu . Karabani is very talented same to other NO NAMEZ members, ni kitu cha kushangaza mtu kusema Karabani is nothing , tusiwe tunavamia vitu tusivovijua au kujifanya tunajua sana jiji na mataa yake kumbe holaa.
Kumbe ni celeb wa dar tu smh! kisa anajulikana town mumuite celeb labda hii Siri ya mtungi itampa jina maana kama wanahiphop wapo wengi tu wa kitambo hawajulikani sikuiz.