Mwenye Historia ya Karabani?

Mwenye Historia ya Karabani?

The Gentleman Pirate

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
1,450
Reaction score
921
Jamani huwa namuona Bball kitaa and he is good being a presenter.

Naomba historia ya huyu jamaa (alipozaliwa, kukulia, elimu, kazi, mahusianona nk)
 
Nilivyosikia katabani kaoshi USA na ndiko alikosomea masuala ya video production
 
Mnatuletea mabigwig wa twitter humu hivi nao ni maceleb? kweli Tanzania kila mtu ni star.
 
Kuishi Usa kupiga video Siri ya mtungi ndo ushakuwa star bongo bana mtu akiishi ulaya basi ni celeb tayari.
 
Karabani back in days kama alikua IST na akina P-FUNK MAJANI ndipo walipounda kikundi chao kinaitwa NO NAMEZ. Hawa jamaa walikua wanarap kwa kiingereza na walikua na wanakipaji ya hali ya juu . Karabani is very talented same to other NO NAMEZ members, ni kitu cha kushangaza mtu kusema Karabani is nothing , tusiwe tunavamia vitu tusivovijua au kujifanya tunajua sana jiji na mataa yake kumbe holaa.
 
Initouch vp we km sio mtu wa hip hop huwez kumjua otherwise umekuja Dar kwa ajili ya chuo ndio ukahamisha na makazi hapo sawa.

Si bora me nilikuja town kwaajili ya chuo kuliko wewe uliyekuja kwaajili ya usaili wa Utumishi.
 
Karabani back in days kama alikua IST na akina P-FUNK MAJANI ndipo walipounda kikundi chao kinaitwa NO NAMEZ. Hawa jamaa walikua wanarap kwa kiingereza na walikua na wanakipaji ya hali ya juu . Karabani is very talented same to other NO NAMEZ members, ni kitu cha kushangaza mtu kusema Karabani is nothing , tusiwe tunavamia vitu tusivovijua au kujifanya tunajua sana jiji na mataa yake kumbe holaa.

Kumbe ni celeb wa dar tu smh! kisa anajulikana town mumuite celeb labda hii Siri ya mtungi itampa jina maana kama wanahiphop wapo wengi tu wa kitambo hawajulikani sikuiz.
 
Am out usichokijua ni sawa na usiku wa giza endelea kama utaki kujifunza ila huyo mtu ni Celebrity aswaa.

Kumbe ni celeb wa dar tu smh! kisa anajulikana town mumuite celeb labda hii Siri ya mtungi itampa jina maana kama wanahiphop wapo wengi tu wa kitambo hawajulikani sikuiz.
 
Back
Top Bottom