Mwenye huu wimbo wa TOT kumuaga Magufuli naomba anisaidie wapendwa

Mwenye huu wimbo wa TOT kumuaga Magufuli naomba anisaidie wapendwa

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Kuna wimbo wa TOT wa kumuaga hayati Magufuli una kiitikio kinaimba,

"Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamwe hatutamuona tena"

Hayati mpendwa Magufuli
Kipindi chake duniani
Japo kilikua kifupi
yale alomwangazia, ameyatimiza kikamilifu
Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamqe hatitamuona tena"

NAOMBA MWENYE WIMBOO HUU ANISAIDIE HAPA NIUDOWNLOAD WAPENDWA🙏
 
Back
Top Bottom