Mwenye idea ya biashara ya Bar

Mwenye idea ya biashara ya Bar

pam11

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
44
Reaction score
5
Nawaza kuanzisha bar sio kubwa sana wala ndogo sana ya kati ila abc za kuanzia sizijui, naomba mwenye uzoefu anijuze
 
1.Ili baa yako ilipe lazima nawe uwe mywaji
2. Uwe na Wahudumu wenye mvuto
3. Mchemsho na nyama choma iwepo
4. Usafi wa hali ya juu
5. Jengo lazima livutie
 
nitahitajika kua na sh ngapi ili niweze kuianzisha
 
Nawaza kuanzisha bar sio kubwa sana wala ndogo sana ya kati ila abc za kuanzia sizijui, naomba mwenye uzoefu anijuze
Nakunasihi kumuhofu mola wako Allah subhanahu wataala katika hili. Usiwa wakala wa shaytwaan. Kuna biashara au shughuli nyingi sana zisizohesabika za kufanya kinyume na hiyo ya ufirauni. Humu humu JF pekua utachoka wewe. Natanguliza shukrani na Allah atuongoze sote tuweze kuiona haki na kuwa wepesi kuifata.

"Na kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa Waumini" (51: 55)
 
Ni vema ukasema mtaji ulionao ni kiasi gani halafu ukapewa ushauri ni aina gani ya biashara unaweza fanya ukiachana na hiyo ya bar kwani ni chukizo mbele za MUNGU.Zipo biashara nyingi sana za kufanya si lazima ya baa na zinaweza kukupa faida nzuri sana.Si vema kutengeneza platform ya watu kuja kumkosea MUNGU.Tumuhofu MUNGU jamani.
 
Back
Top Bottom