Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakunasihi kumuhofu mola wako Allah subhanahu wataala katika hili. Usiwa wakala wa shaytwaan. Kuna biashara au shughuli nyingi sana zisizohesabika za kufanya kinyume na hiyo ya ufirauni. Humu humu JF pekua utachoka wewe. Natanguliza shukrani na Allah atuongoze sote tuweze kuiona haki na kuwa wepesi kuifata.Nawaza kuanzisha bar sio kubwa sana wala ndogo sana ya kati ila abc za kuanzia sizijui, naomba mwenye uzoefu anijuze