By Mwandishi Bora
Member
- Jul 27, 2024
- 35
- 13
Mwenye Jimbo la Moshi mjini ni mmoja tuu naye ndiye anayewapa msongo wa mawazo
waroho wa madaraka na kufanya wajione wanaweza KAZI za kiume wakati wao ni wavulana....
Mbunge asiye na chembe ya futna Wala magomvi...
Mbunge PRISCUS TARIMO ni mtu mwenye hofu na MUNGU...
Mbunge wetu anapigania Jimbo letu kwa Hali na mali kimaendeleo endelevu...
Mbunge wetu amekuwa mtu wa watu anayejitambua kimaadili na kihekima..
Mbunge wetu amedumu kwenye ubunge kwa miaka michache lakini ameweza Kutenda makubwa yasiyo na kifani na yenye tija kwenye Jimbo letu kimaendeleo endelevu....
Ameweza na bado anaweza zaidi kutuongoza kwa uwezo wake ulio imara na wenye uweledi wa kiuongozi. ...
Mbunge huyu tumebarikiwa sana kumpata na ni neema kubwa sana tumepewa na MUNGU kiukweli ametenda maajabu sana kwenye maendeleo SEKTA mbalimbali HANA DENI na Wana Moshi Bali sisi Wana Moshi tunadeni la KUMCHAGUA KWA KISHINDO..
MBUNGE WETU PRISCUS TARIMO BINGWAA @Priscus Tarimo B ANAFAA HATUMUACHI TUNA YEYE MITANO TENA ✅✅✅