Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Wakuu, asalaam aleiykum
Ama baada ya salaam, kama kichwa cha post kinavyojieleza, naomba yeyote mwenye Katiba ya Tanzania ya 1977 anisaidie.
Natanguliza shukrani.
Wakuu, asalaam aleiykum
Ama baada ya salaam, kama kichwa cha post kinavyojieleza, naomba yeyote mwenye Katiba ya Tanzania ya 1977 anisaidie.
Natanguliza shukrani.
Install .pdf kwenye kifaa chako. Hilo file ni la .pdf.Mkuu inasema "can't open file"
Mkuu, ninayo PDF reader. Vitabu vingi nimefanikiwa kudownload. Hata hotuba ya jana ya bajeti. Lakini nikijaribu Katiba 1977 inashindikana. Sasa sielewiInstall .pdf kwenye kifaa chako. Hilo file ni la .pdf.
Wakuu, asalaam aleiykum
Ama baada ya salaam, kama kichwa cha post kinavyojieleza, naomba yeyote mwenye Katiba ya Tanzania ya 1977 anisaidie.
Natanguliza shukrani.
Andika the Constitutional of 1977 PDF...then click itakujaMkuu, ninayo PDF reader. Vitabu vingi nimefanikiwa kudownload. Hata hotuba ya jana ya bajeti. Lakini nikijaribu Katiba 1977 inashindikana. Sasa sielewi
Utakuwa sio mwana thithiem... Hiyo katiba iko downloadable kwa wana thithiem tuu. Badili chama kwanza... πππMkuu, ninayo PDF reader. Vitabu vingi nimefanikiwa kudownload. Hata hotuba ya jana ya bajeti. Lakini nikijaribu Katiba 1977 inashindikana. Sasa sielewi
Kwani ile mnayodai haki ya bunge kuonyeshwa live ni kwa mujibu wa katiba gani mkuu?Utakuwa sio mwana thithiem... Hiyo katiba iko downloadable kwa wana thithiem tuu. Badili chama kwanza... πππ
Mkuu, ninayo PDF reader. Vitabu vingi nimefanikiwa kudownload. Hata hotuba ya jana ya bajeti. Lakini nikijaribu Katiba 1977 inashindikana. Sasa sielewi