Mwenye katiba ya 1977

Mwenye katiba ya 1977

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,955
Reaction score
9,041
Wakuu, asalaam aleiykum

Ama baada ya salaam, kama kichwa cha post kinavyojieleza, naomba yeyote mwenye Katiba ya Tanzania ya 1977 anisaidie.

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu,TE="nyamchele, post: 16453791, member: 228794"][/QUOTE]
Mkuu, nimeuaribu kudownload lakini inasema "can't open file". Sasa sijui nifanyeje
 
Wakuu, asalaam aleiykum

Ama baada ya salaam, kama kichwa cha post kinavyojieleza, naomba yeyote mwenye Katiba ya Tanzania ya 1977 anisaidie.

Natanguliza shukrani.

Hii hapa nime attach lol, maana sitaki upate shida angali nipo hai, ukitaka kuja nyumbani kwangu pia uniulize nitakuelekeza vema.
 

Attachments

Nawashukuru wote mliotoa ushirikiano katika kunisaidia kupata KATIBA 1977. Nimefanikiwa kudownload. I think moderators can go ahead and delete this thread now.
 
Back
Top Bottom