Mwenye kiburi akiinuliwa juu anainuliwa ili aanguke vibaya

Mwenye kiburi akiinuliwa juu anainuliwa ili aanguke vibaya

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1604461661486.png
 
Kwisha habari yenu Wanafiki wakubwa
Sikuzote mungu Hashindwi na Mashetani kama nyie
Endeleeni Kuota ndoto za Mchana na Kudanganyana Humu kama Vilaza na Kupeana Like
Ndio Imeisha hiyo
 
Kwisha habari yenu Wanafiki wakubwa
Sikuzote mungu Hashindwi na Mashetani kama nyie
Endeleeni Kuota ndoto za Mchana na Kudanganyana Humu kama Vilaza na Kupeana Like
Ndio Imeisha hiyo
Hata Mabutu alishupaza shingo na alikuwa na maneno ya jeuri kama yako lakini alizikwa na watu saba tu tena ugenini
 
Leo kuna mtu anaingia ofisini kwa mara nyingine tena, halafu nyie endeleeni na maneno yenu ya mipasho
 
Mnaweweseka bure imekwisha iyo kesho anakula kiapo tunaendelea kuchapa kazi.
 
Kwisha habari yenu Wanafiki wakubwa
Sikuzote mungu Hashindwi na Mashetani kama nyie
Endeleeni Kuota ndoto za Mchana na Kudanganyana Humu kama Vilaza na Kupeana Like
Ndio Imeisha hiyo
Daaah, yaani shetani unaanza na herufi kubwa halafu Mungu herufi ndogo
 
Back
Top Bottom