Mwenye kitabu hiki, na mimi nakihitaji

Mwenye kitabu hiki, na mimi nakihitaji

Amazon huwa wanauza HARDCOPY na SOFTCOPY.
Kwa softcopy waweza isoma kupitia KINDLE application, Ipataikanayo kwa simu za android na Windows PC
ubarikiwe mkuu,ila kuna vitu huwa nawish to learn from you,pm huwa hurespond,fungua pm mkuu ukiwa great kwa kitu fulani kwenye jamii watu wengi watapenda kujifunza toka kwako
 
ubarikiwe mkuu,ila kuna vitu huwa nawish to learn from you,pm huwa hurespond,fungua pm mkuu ukiwa great kwa kitu fulani kwenye jamii watu wengi watapenda kujifunza toka kwako
Tumia mawasiliano yangu yanayopatikana hapa: www.bit.ly/101buy4me
Au njoo PM direct. Huwa najitahidi kujibu kila PM ninayopata, Iwapo ilitokea kutokujibiwa yawezekana ni kutokana na wingi wa PM ambazo huwa napa

Karibu
 
Habari wajasiriamali wenzangu.

Naomba sana kuna hicho kitabu nimeweka cover picha yake hapo chini naomba kwa yeyote ambae ataweza kukipata basi sio vibaya na hatapungukiwa na chochote kama ataweza kushea nasi haswa wadau wa jukwaa hili la biashara, uchumi na ujiasiriamali..

Huyo kijana John Iwuoha tuseme ni mtaalamu sana wa kuchambua mada za kibiashara na uchumi na pia ana uelewa mpana wa FURSA za kibiashara hapa AFRIKA, mana sehemu nyingi ameshafika, na pia baadhi kama sio wote wafanyabiashara hua anazungumza nao na hua anaelezea japo kwa kifupi mfanyabiashara husika alipoanzia hadi kufikia alipo(mafanikio). Ana makala nyingi nzuri sana zenye kufafanua mambo kwa mtu yeyote kuweza kuelewa ambazo zipo katika website yake ya SMALLSTARTER.COM, huko pia utakutana na makala ya mfanyabiashara wa solar mtanzania milionea, Patrick Ngowi.

Kwahio kama kuna mdau yeyote atapata kitabu hiki basi asisite kutupia humu na wengine wajifunze, maana sio kila mmoja atakua na uwezo wa kukinunua, anauza kama 90$ hivi ambayo ni kama laki mbili za hapa kwetu Tanzania.

View attachment 610432


HABARI,
PATO8221
Unaweza kudownload kitabu hapa.Nshukuru pia PATO8221 sikuwa nafahamu hiki kitabu,
Ni kitabu kizuri zana nimeweka wazi kwa wote kunufaika.

LUMUMBA
 

Attachments

Kuna documentary and/or Makala pia ya Business to engage in Africa... Itafteni wadau.....
 
Back
Top Bottom