The Hacker 115
Member
- Jul 21, 2019
- 58
- 72
una lazimisha mkuu. Bora ungeandika naomba anisaidieMwenye kitabu cha Evarist Chalali kinachousiana na Afisa usalama ni nani, naomba anisaidie. πππ
una lazimisha mkuu. Bora ungeandika naomba anisaidie
amesema "nakiomba" tafakari vizuri hili nenoUjumbe mbona umefika vizuri mkuu
Pia soma uzi ametumia hayo maneno uliyoyahitaji.
Ni shushushu π§amesema "nakiomba" tafakari vizuri hili neno
amesema "nakiomba" tafakari vizuri hili neno
Marumbano hayata msaidia Kama mtu anacho amsaidie bhnaSoma content ya uzi kabla hajatumia emoji's za shukrani ametumia maneno gani au huna hicho kitabu?
Marumbano hayata msaidia Kama mtu anacho amsaidie bhna
Ebooo! [emoji41]
Nimeomba mkuuuna lazimisha mkuu. Bora ungeandika naomba anisaidie
Anhaaa KumbeHutonufaika na chochote humo maana jamaa kaongopa mambo mengi tu humo...
Hutonufaika na chochote humo maana jamaa kaongopa mambo mengi tu humo...
nadhan