Mwenye kitabu kinaitwa "In God's Name" by DAvid Yallop, naomba

Mwenye kitabu kinaitwa "In God's Name" by DAvid Yallop, naomba

Kimalingano

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
709
Reaction score
919
Wakuu,

Mwenye kitabu hicho cha David Yallop kwa muundo wa soft copy naomba sana. Nasikia ni kitabu kinzuri mno.
 
Kizuri sana, anaelezea maisha na njama za mamafia kumuua papa john I. Nenda zlibrary utakipata.
 
Back
Top Bottom