Mwenye knowledge ya Computer forensics in Tanzania

Joined
Dec 23, 2013
Posts
18
Reaction score
4
Ni kweli hiki ni kitu kipya katika sheria ya Tanzania? Kwa mwenye knowledge juu ya suala hili naomba anisaidie tafadhali.
 
Ni kweli hiki ni kitu kipya katika sheria ya Tanzania, kwa mwenye knowledge juu ya suala hili naomba anisaidie tafadhali

jacline hata mimi nasikia kwako.the way you have put it,sounds like wewe tayari ni mtaalamu wa hiyo taaluma.otherwise kuwa wazi ili tujue deficit ya wataalamu wa computer forensic in tz.utakuta pengine hawafiki hata wa tano.
 
Ninachokifaham ni matumiz ya computer katika upelelez yan kukusanya ushahidi katika computer na kuupresent mahakaman. Kazi hii kwa Tanzania inafanywa na department ya police inaitwa cyber and fraud department. Ambacho napenda kuelimishwa ni juu ya vitu vifuatavyo kwanza namna ya ukusanyaji wa ushahidi huu, right to secrecy kwa watumiaj wa computer ka zinakuwa protected, ushahidi huu unatunzwa vp kuensure cleanliness yake, pia educational requirements for one to work as an expert in this field
 
Unachotaka kujuwa ni kipi haswa, sijakuelewa. Kama inafundishwa Tanzania taaluma hiyo au ipo inatumika?

Tanzania Police wameanzisha kitengo cha computer forensics ingawa sina uhakika wa jina lake. Na walipeleka vijana kusoma nje, kuna makundi yalipelekwa USA kusomeshwa.

Pia kama umebobea katika hiyo fani unaweza kuwasiliana na:

ACP Martini Otieno, Mkuu wa kitengo cha Teknohama, +255767 27 97 47, martin.otieno@tpf.go.tz

Ni vipi unaweza kushirikiana nao.
 

kitengo hicho kipo chini ya jeshi la polisi na kwa kweli sheria yake ni changamoto ili kuwa expert uwe na taaluma ya cybercrimes and computer science pia idara hizi zipo BOT TISS and FIU kama uko serious nnambie level yako ya elimu then I'll advice you more.
 
dah majibu ya maswali yako ninayo ila si vizuri kuyadisclose
 
Ni kweli hiki ni kitu kipya katika sheria ya Tanzania? Kwa mwenye knowledge juu ya suala hili naomba anisaidie tafadhali.

Mimi nilianzia hapa kusoma hii Kitu kwa gharama nafuu ya wastan wa kama usd 100 hivi
COMPUTER FORENSIC COURSE

Lakini lazima uwe unajua Networking, DataBases, Ukijua Haking na Programming pia vinasaidia Sana. Japokuwa Kwenye Forensic unatakiwa uwe na basic ya sheria kwani kazi yako inaishia mahakamani kupresent ushahidi.
 
Am duin research on this aspect if ua owk share with me ua knowledge
 

Thanks, ntajitahid kuwasiliana nao
 
Ni kweli hiki ni kitu kipya katika sheria ya Tanzania? Kwa mwenye knowledge juu ya suala hili naomba anisaidie tafadhali.

mi nimesoma master of Science in Information Security and Ethical Hacking nimespecialize kwenye computer forensic and cyber Laws. ukinihitaji ni PM
 
dah majibu ya maswali yako ninayo ila si vizuri kuyadisclose

hii ina maanisha kuweka wazi ufanyaji kazi ya kukusanya taarifa za uhalifu na upelelezi hivyo lazima ibaki kuwa siri kwa maadili ya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…