Mwenye kuandika namba ya mwisho ndo mshindi.

Mwenye kuandika namba ya mwisho ndo mshindi.

.
.
.
.
.
Trillion 999.

Hadi mfike huku mtakuwa mmeshapumzika kwa amani tayari, hebu nipeni tuzo yangu mapema kusave usumbufu
 
hahaaaaaaa,hutafikia ile record ya "wa mwisho ndio mshindi"
 
.
.
.
.
.
Trillion 999.

Hadi mfike huku mtakuwa mmeshapumzika kwa amani tayari, hebu nipeni tuzo yangu mapema kusave usumbufu
trilion trilion,hapa ndio nimeua.wakiendelea itabidi wawaachie wajukuu zao nao waendelee nao watawaachia wajukuu zao.Kiufupi watakuja kunipac jibu ahera kuwa wamefikia wapi
 
Back
Top Bottom